Natamani kuoa, lakini hela sina

Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo
Na kumvesha nguo za bukubuku upo
Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
Wewe si masikini, bali unauendekeza umasikini.
 
Tafuta bwana uolewe dogo. Acha kutusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…