Natamani kuoa, ila mambo haya ndo yananikwamisha

Ukiwa na Mke/mpenzi anaekupenda utaenjoy sana mapenzi na maisha kwa ujumla, mpe nafasi akupendae, usiseme kuwa hawakuvutii huo ndo uumbaji Wa Mungu, nao wameumbwa hivo, wavumilie kwa mapungufu waliyonayo.
Mimi huwa sielewi mnaosema watu waoe mwanamke asiyemvutia kisa tu huyo mwanamke kampenda. Ukioa asiyekuvutia utawahi kumkinai mapema
 
Mimi huwa naona ni kitu kigumu mnooo kuliko kuhamisha Mlima, kuishi na kiumbe usichokipenda, ulale nacho, uamke nacho, ule nacho ni kipengele mazee

Logically unachokisema kina make sense, ila uzoefu unaonyesha uwezekano wa kumpenda sana mtu wa namna hiyo na kudumu naye ni mkubwa. Mfano mzuri ni ndoa nyingi za wazee wetu, miaka ya 70 kurudi nyuma, wengi walichaguliwa wenza na wazazi wao, wala sio kwa sababu waliwapenda. Lakini ndoa zao zimeongoza kwa kudumu kuliko hizo za siku hizi.
 
Shida ni kwamba vijana 90% rika la kuoa wanataka kuoa/chumbia pisi kali......

Pisi kali 90% zinataka mwenza mwenye hela isiyokuwa ya mawazo...

90% vijana wa rika la kuoa, 28+ of age hawana cash flow ambayo 90% pisi kali wanataka. ...

Ni changamoto ambayo no one knows the solution.
Tuendelee kutafuta hela.
 
Wanawake wa cku hizi co walee wa zamani. Taraka zimezidi,,,wewe na bahatiyako mzehe.
 
Hii kitu nilidhani ni rahisi,lakini ni jambo gumu sana kumpenda mtu eti kwasababu anakupenda
Unapopenda haitakiwi umuonyeshe muhusika kuwa umerukwa akili kwasababu yake maana hiyo itamtisha na kumfanya aloose interest kwako.

Kimsingi mpende mtu sana tu ila jitahidi usimtishe kwa kumuonyesha upo obsessed nae kiasi cha kushindwa kuwa na ratiba zako hii itasaidia na yeye kujenga hisia na mzuka wa kutaka kukujua vema na kujisogeza karubu.

Ukimuonyesha mtu mapenzi kupitiliza unampa hofu kuwa kuna kitu anacho na wewe unakitaka ukichukue toka kwake.
Ubongo wake utajenga defensive mechanism ya kujihami dhidi ya huo unyang'anyi na automatically ataacha kukuelewa ataanza kukuhofia na kukukwepa.
 
Shida ni kwamba vijana 90% rika la kuoa wanataka kuoa/chumbia pisi kali......

Pisi kali 90% zinataka mwenza mwenye hela isiyokuwa ya mawazo...

90% vijana wa rika la kuoa, 28+ of age hawana cash flow ambayo 90% pisi kali wanataka. ...

Ni changamoto ambayo no one knows the solution.
Tuendelee kutafuta hela.
Solution ni serikali itoe mikopo ya riba nafuu ya vijana wa umri wa kuoa waweze kujipatia pisi kali. Hiyo mikopo iitwe Pisi kali loans.
 
Hahahh kwangu mie huwa ni ngumu hii

Ubongo wangu huwa unaniambia tangu mwanzo "huyu kiumbe huwezi kumpenda" so haipo namna nitampenda eti sababu amenipenda
watu kama wewe huwa mnaishia kuumizwa kwasababu kanuni kubwa ya maisha huwa atupati tunavyo vipenda bali tunavyo stahili..anae kupenda humpendi unampenda ambae hakupendi
 
Mimi huwa naona ni kitu kigumu mnooo kuliko kuhamisha Mlima, kuishi na kiumbe usichokipenda, ulale nacho, uamke nacho, ule nacho ni kipengele mazee
Niliwahi jaribu huo ujinga hakika ni mateso bila chuki, mpaka leo najutia yale maamuzi.
 
Hiyo point no.4, kuna Dr. mmoja aliwahi kuniambia duniani kuna matatizo mengi, huwezi kuyabeba yote...Fanya kwa kiasi unayoyaweza usiyoyaweza achana nayo.
Ishi kwa furaha, furahia maisha uliyonayo.

Utaweza kuyabeba matatizo ya duniani???
 
" Napata attention kutoka kwa baadhi ya wanawake, kuna baadhi ya wadada wanaonesha kunitaka kimapenzi, ila daah nikiangalia muonekano wa hao wanawake, huwa natamani kulia machozi, yani hawana hata average looks" mara nyingi sana mke anayetoka kwa Mungu au really wife huwa kwenye kundi hili. Kwa ambao tuko kwenye ndoa na tunafirahia ndoa tupo hapa.

Unaweza rukaruka utakavyo ila ukimis hapa umepoteza kila kitu. Mwonekano mzuri wa mwanamke n wamuda tu ila tabia ni yakudumu

Kutafita mwonekano mzuri wa nje nikutafuta furaha ila kupata asiye mwenye mwonekano unao utaka nikupata amani ya Mungu. Amani inadumu ila furaha niyamuda mfupi
 
Shida ni kwamba vijana 90% rika la kuoa wanataka kuoa/chumbia pisi kali......

Pisi kali 90% zinataka mwenza mwenye hela isiyokuwa ya mawazo...

90% vijana wa rika la kuoa, 28+ of age hawana cash flow ambayo 90% pisi kali wanataka. ...

Ni changamoto ambayo no one knows the solution.
Tuendelee kutafuta hela.
Nakazia tu, na hizo pisi kali zaweza kuwa zilishatumika vya kufa mtu, mibaba yenye familia zao ndio inagharamia hiyo lishe na mavazi, kijana anafikiri ni mwènzie kumbe kaachwa mile kibao
 
Shida ni kwamba vijana 90% rika la kuoa wanataka kuoa/chumbia pisi kali......

Pisi kali 90% zinataka mwenza mwenye hela isiyokuwa ya mawazo...

90% vijana wa rika la kuoa, 28+ of age hawana cash flow ambayo 90% pisi kali wanataka. ...

Ni changamoto ambayo no one knows the solution.
Tuendelee kutafuta hela.
Na hapa ndipo tabu ilipo!

Sema waliozingatia character na average looks wengi wamefaulu😅 kupata wenza wa kudumu! Unataftaje mwanamke ambaye sokoni kila mtu anamtamani yani aking’aa tu barabarani hamalizi siku 2/3 hajabebwa na mwamba mwengine.
 
Back
Top Bottom