Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Mzabue tu si mchepuko, halafu rejesha majeshi kwa mke mkubwa labda heshima itaongezeka, halafu beba watoto pia
 
Mkuu pole sana.
nakushauri usimpige tu. ni bora ukamuacha kwa namna yoyote umuepuke tu. hawa wanawake ni special case. pole sana wewe unao wawili. sisi tunao wamoja wamoja tu na wanatupasua vichwa
 
Mke mkubwa anamjua huyo mdogo ??

Alimfaham kitambo. Tulimlea kwa namna fln akiwa mdogo.hata akimkuta barabarani ampa lifti.sasa atakuwa anajuwa japo nimebakiza kumtamkia tu na kumwita tu kuja tule wote chakula cha jioni.
 
Hivi nyie mnaolazimisha kula mke mja kwamba ndo nn labda,kusumbua ni sehm ya maisha ya wanawake ni kila mtu na akili ya kuwatreat kulingana na kila mja alivyo
Hizo ni hoja za wanaume dhaifu

Hawa wanatakiwa wakajifunze kilochotokea kenya hadi mitala imepitishwa kisheria...au yawakute.
 
How do yo expect him to grow wise?Fafanua.Yeyote awezajikuta kwenye dilemma regardless of age.

My first date came with the first born. I was wiser not to agree on abortion. He is an extraordinary genious boy. And he loves me kuliko kitu chochote duniani. Kuliko watoto wangu wote nilionao.
 
Wakati unazaa naye wewe ulitambua kuwa una mke? Naona umemtaja yeye ndio alilitambua hilo.
Kupiga mtu kuna kifo pia chaweza kuwa matokeo ya kipigo, haijalishi ni kibao au konde.
Maji umeyavulia nguo, yaoge!
 
Once in a while kipigo kinaleta discipline, trust me. Sio vizuri kumpiga mke, hasa mke wa ndoa lakini when she goes to the extreme, ukiongea kwa busara haelewi coz wengi wameumbwa KUONGEA, a few slaps can change the situation mkuu.
 
Ndugu wanabodi mwenzenu yamenikuta.

Miaka kama mitatu inaenda minne sasa nimezaa watoto wawili na dada mmoja,
wakati ninazaa nae anatambua fika nina mke na maisha yakaenda. Kimsingi yeye ndio kama alikuwa ananitongoza tangu udogo wake maana nimeanza mfahamu yuko kidato cha pili japo nilidate nae akiwa mwaka wa 2 chuo kikuu.

Alipata ujauzito akiwa mwaka wa 2 kwao wakamsusia mimi nikamsaidia akamaliza chuo. Kwa sasa kamaliza chuo huu ni mwaka wa 2 na sasa nimemfungulia biashara na anafanya vizuri tumkimsingi ana juhudi sana ya kazi.

Tatizo kubwa nililonalo nae ni kiburi na kauli chafu. Mara zote amependa kushindana na mimi. Hata akikosea hataki kushuka. Kimsingi ni wale wanawake wanataka saa zote wawe juu ya wanaume. Kwangu mimi na yeye haiishi wiki bila kugombana. Mara nyingine inatutokea tuko pub au club na siku huharibika kabisa. Wafanyakazi wote wadada wa nyumbani kila mara huwa wenye huruma na mimi kwani wanaona kabisa kuwa yeye ana matatizo.

Kinachonitokea ni kuwa kila kauli yangu lazima aigeuze iwe mateso kwangu. Kila jema ninalomfanyia lazima nilijutie kwa kuwa kuna muda nitasikitika kwanini ninajitoa muhanga hivyo kumpromote na mambo yake na nimeanza mengi ya kwangu na ya familia kubwa yakilala.

Tukitofautiana ndani ya muda mfupi hulia sana na hukonda ghafla. Inawezekana anapenda kuwa ndani ya uhusiano japokuwa kila mkikaa muda kidogo lazima tena mpishane kauli kisha mnapotofautiana kwa muda mfupi humtafuta kwa kaka yake mmoja msomi na huongea kwa kirefu nahisi huwa wananiongelea.

Kimsingi hata kwenda kwao nahisi sio fresh kwa kuwa kwa kweli nahisi nashindwa kummanage mimi ni mtu mzima so nisingependa kujitokeza kwa wazazi wao kisha baadae nisionekane.

Nina miaka 44 yeye sasa ana miaka 29. Kwa kweli nikiri sio muhuni wala sio malaya. Tatizo lake ni kukosa kujitambua na kuchagua maneno ya kusema akiwa na mimi na kukosa shukurani.

Ili kumdhibiti hapa katikati nilodhani nimsusie na ninaendelea na hii strategy kwamba nisiwe too available kwake but kila mara kazi anazofanya zinahitaji niingilie kati kumkwamua from time to time.

So ukizingatia mimi ni mentor wake ziwezi kuzipotezea kazi hizi hutufanya tunajikuta tunakuwa wote from time to time though nimeanza kumpa airtime ndogo na kuconcetrate zaidi kwenye kazi zangu.

Huwa tunapanga biashara na kufanya kwa mafanikio ila yeye mwenyewe anatambua akipishana kauli na mimi mambo yake mengi hukwama na huja kuomba msamaha kuna wakati huwa nawaza nimuache afanye shughuli zake independently yaani nisishirikane nae kikazi ili awe na autonomy yake na nifanye program zangu mimi kama mimi ili nisipoteze nguvu.

Of course nimeanza kidogo kidogo kujitoa kuita biashara zake kuwa ni zetu japo yeye hungangania kuwa ni zetu. Kwa upande wangu nahisi teyari nishatekeleza wajibu wangu kwa maana pale alipo sio mtu wa kuomba mkate barabarani wala kupanga nyumba. Kuna wakati huwa namuuliza je kuzaa wote ni mkataba lazima muwe wapenzi? Je haiwezekani mkalea watoto tu na kila mtu aendelee na maisha yake? Kuna wakati namuonea huruma tena na hasa wanangu ambao wananipenda sana.

Kuna jambo moja natamani kulifanya na pengine nahisi litasaidia. Nataka siku moja tukipishana nimtandike vibao vya kutosha ili awe na adabu akiwa anaongea na mimi. Nataka chukua approach ya kupiga nikishindwa hio basi nadhani sasa kila mtu ataendelea na maisha yake nataka kufanya hivyo ili kurestore maisha ya watoto na yeye mwenyewe. Je ni njia sahihi?

Mara nyingine huwa nawaza je ana matatizo ya akili maana mara nyingi watu wengi wenye akili nyingi za darasani kama yeye (ni first class material) huwa wana matatizo ya kufafanua na kutafsiri vitu vya kawaida vya maisha.
Au yeye ni wale wanawake wameumbwa kuishi single? Maana huwa naamini wanawake wengi wenye msuli wa kupambana huwa hawana unyonge wa kumuhitaji mwanaume? Kuna thread humu unasema ni tatizo kuoa mwanasheria? Inawezekana ni ukweli? Kama ni hivyo jini nililifuga mwenyewe sasa linanitafuna maana nilimshauri aache kusomea ualimu aende sheria na nikamsupport...Au njia sahihi ni ipi? Au niendelee na huu mkakati wa kusogea mbali nae?

Wadau naomba ushauri. Tuanzie hapo.
Pole sana mkuu..we jamaa una busara sana..ila uamuzi wa kumpiga makofi kwangu mm ni uamuzi sahihi sana.. Kwa sababu..

Naweza kusema huyo mtu hatofautiani na mzazi mwenzangu..majibu,kauli mbovu na vingine vyote ulivyosema wanaendana kwa asimia zote..

Me sina busara kama wewe mkuu na ni mtu mwenye hasira ingawa hasita zangu cjawahig zionyesha kwake..alifanya vitu vingi nikawa naumia moyo nikasema sbr nimuache tu ila nikakumbana na kikwazo cha mtoto anaenipenda sana pia kama ww...
Sikuiyo aliniudh nikasema huyu naona ameshalua mwanaume kama mm nikamfungia ndani mtt nikampeleka kwa bibi kwa mda..

Kitendo nilichomfanya nadhano hatosahau.nilikua tayari kwa lolote either aondoke au heshima ipatikane na ndio hapo nilipogundua kweli hawa wanawake wa kisasa wanatuletea ujinga usiposimama kama mwanaume...

Baada ya lile tendo aliomba nauli nikaenda mtolea nauli nikampa..asbhi nikampa ingine na kumuulize nikupeleke..kiukweli aliomba msamaha nikamwambia tu na mm nisamehe na kuanza kuyajenga..

Naweza kusema kwa saiv ana heshima..nikiinua sauti ye anakaa kimya,nna nafasi ya kuongea kwenye nyumba na nikasikilizwa,kiburi kimeisha na yale mahasira sikuiz hata siyaona..yani kawa mpyaaaaaaa..

Kwa upande wangu nahisi makofi yamemjenga sana na amekuwa wife material na karibu natangaza ndoa..

Kila la kheri mkuu..uyo ni wa kupiga..
 
Hivi nyie mnaolazimisha kula mke mja kwamba ndo nn labda,kusumbua ni sehm ya maisha ya wanawake ni kila mtu na akili ya kuwatreat kulingana na kila mja alivyo
Hizo ni hoja za wanaume dhaifu


Naam kweli kabisa! !! Ila tu....tukumbuke kizazi kitokanacho na mahusiano ya aina hii, tukifuatilie angalau miaka 10 ijayo!! [HASHTAG]#Life[/HASHTAG] is nothing but just a [HASHTAG]#Dream[/HASHTAG]!!!
 
Madam,suruhisho sahihi kwa mwanamke anayechepuka,hata kama ni kwa kisingizio cha kulipiza kwa mwenzi wake, ni kumuacha tu.Kuishi na mwanamke mchepukaji ni hatari kwa usalama wa mwanaume.


Indeed!... you are very right! Kwani siunajua mwanamke nili "toy tu" la mwanaume, wala halina hata moyo wa nyama wala damu mwilini, wala silo lililokuzaa wewe pia!

I feel sorry for whoever will steal your heart, atakumaliza!
 
Tena ndio nilimshauri kujiuna na degree ya sheria LLB basi ndo anatumia hio hio kunyanyua mdomo na mimi..yeye sasa ni mwanasheria.we acha tu....
hiyo sheria inamsaidia nn ikiwa anajua kutembea na mume wa mtu ni makosa makubwa kidini tena kazaa watoto wawili.. je unaona mtaishi kwa amani ww na huyo mchepuko ikiwa mke wako huenda anakuombea mema kwa mungu na anadhani yuko peke ake... inaonekana ww huna msimamo ndio maana anakudharau cuz ungekua unajitambua tyr una mkeo cjaona kitu chakukusukuma mpk adi kumuandikia uzi mchepuko angekua mkeo ndio anakuzingua hapo ningekushauri vzr but cyo mchrpuko ambae mnazini na kuongeza midhambi tu
 
44yrs mwanaume kwenye 'c' unaweka 'x', tena unaandika 'thx' [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
madam una wivu sana aisee, halafu usiojenga. nawaza tu utakuwa unahisi mumeo anachepuka sasa ukipata mtu kama mleta thread unatamani kumaliza hasira zote
Wivu usiojenga?? Ongelea tabia ya mleta mada acha kuwa bias
 
Back
Top Bottom