Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Uwaache kwa nini na wakati kuchepuka ni kuzuri kama ufanyavyo wewe?? Unafikiri unawatosheleza kila idara? Nikutaarifu tu mwanamke akijua una mke au mtu mwingine na akapotezea naye hutoa game mahali kimyakimya kuondoa hasira.
Amechepuka wapi?amekuambia ana wake wawili we umeng'ang'ania ana chepuka.Maisha sio unavyoyaona hadi uje uwe upande wakutamani hata kuolewa mke wa 4.
 
Mkuu mtie makofi ya nguvu matatu yale ya kelb mawili na moja la kawaida.Baada ya kumpiga itakujia huruma najua lakini jikaze.Pia umri unachangia kwa sababu mmepishana sana yeye hajayajua maisha kama wewe.
 
Amechepuka wapi?amekuambia ana wake wawili we umeng'ang'ania ana chepuka.Maisha sio unavyoyaona hadi uje uwe upande wakutamani hata kuolewa mke wa 4.

Asante sana mkuu..badala ya kujadili hoja anajadili mfumo wangu niliojiwekea wa kuishi
 
[emoji23][emoji23]mwanzo nimesikitika lakin inabiddi nicheke, mkeo mkubwa katulia lakini mchepuko anakuhenyesha….. Kuna ulazma gani wa kuwa nae? Kama mkeo mtambulishe kwa bi mkubwa

Kuna wakati story kwa kurani inasema mke wa kwanza wa mtume alipofariki hakuwahi kuwa na amani tena...so ni mambo ya kawaida tuyaxhukulie yalivyo?
 
Dah hii story inafanana exactly na demu mmoja nilikutana nae chuo kimoja hapa Dar.....its like her kabisa aisee.

Km ni yy mbona nje Anaonekana mtulivu sana na very clever...mchangamfu kiasi na it seems anakupenda sana though anatambua ndoa

Pia sio kicheche ingawa Kuna wakati aliniambia angependa Cku moja aishi na mme wake wa halali.

Anyway huu mji ni mkubwa sana na story ni nyingi nyingine zinafanana

Huwezi jua mkuu..kweli sio kicheche kabisa....Kinsingi huyu tunaishi kindoa na tuna 2 kids.....inawezekana dhamira yake kuwa bado haishi maisha aliyojipangia tangu utotoni ndio inampa ujinga. Ndio maana ninamuoambia sio lazuma.tuendelee kuwa wapenzi. Uzazi tuliofanya nanutoshe aendelee na safari yake kama hajafika..Kama unamfahamu na unampenda mwambie awe huru tu.
 
Wanawake wasomi wanachangamoto kubwa sana katika maisha ya mwanaume. Ni kawaida kwa mwanamke yoyote kutaka kumtawala mwanaume akijua anammiliki kila idara. Ikiwezekana amwendee kwa Mganga kumpa dawa. Kifupi we kuwa kauzu tu maana ukimpiga atazidi kuwa na kiburi. Akipandisha sauti we ondoka tu au kaa kimya endelea na shughuli zako. Yani muignore hiyo ni adhabu kubwa sana kwake. Akiomba msamaha MPE kanuni zako na mwambie kabisa akikiuka unaenda zako na asikutafute. Iwe ndo routine kila wakati.
 
Ndio...na ninawaza nisngekuwa msomi mara 3 zaidi yake ingekuwaje. Ulichosema ndio ninachofanya kila wakati hata jana tulikuwa club tukatofautiana nikamwambia chapa raba kalale...sasa sijui anakuwa sugu au akikuwa ataacha? Hivi mshana yuko wapi leo?
 
ILA kuna kitu hapo. Mwanamke wa club sidhani kama anaweza kuishi maisha ya kawaida bila kuwa hivyo. Kwa mtazamo wangu maisha ya mwanamke wa club au kumbi za starehe hawezi kuwa na staha maana hata maeneo anayoenda hayana staha. So kwa upande mwingine mvumilie tu mpaka mtakapokuwa watu wazima ndo ataacha.
 
ILA kuna kitu hapo. Mwanamke wa club sidhani kama anaweza kuishi maisha ya kawaida bila kuwa hivyo. Kwa mtazamo wangu maisha ya mwanamke wa club au kumbi za starehe hawezi kuwa na staha maana hata maeneo anayoenda hayana staha. So kwa upande mwingine mvumilie tu mpaka mtakapokuwa watu wazima ndo ataacha.[/QUOTE

Yaani cha ajabu hapendi club pombe wala makelele..yeye ni mwanamaombi. Jana nilikutana nae actually sio club indoor ni hizi open kwa dinner nilimpokea alitoka kazini jioni ale chakula.
 
ILA kuna kitu hapo. Mwanamke wa club sidhani kama anaweza kuishi maisha ya kawaida bila kuwa hivyo. Kwa mtazamo wangu maisha ya mwanamke wa club au kumbi za starehe hawezi kuwa na staha maana hata maeneo anayoenda hayana staha. So kwa upande mwingine mvumilie tu mpaka mtakapokuwa watu wazima ndo ataacha.

Hapendi pombe..club...wala kelele..ni wale wanawake hata ukimuuliza zari hassan ni nani hamjui.....ukimuuliza akutajie hata wimbo mmoja wa ali kiba hawezi...ukimuambia atofautishe nissan na toyota hawezi japo anadrive...ukimuambia unamjua rihanaa ndo da hata hajui...haingii facebook wala hajawai log insta.....anapenda tu tamthilia nadhani ndo zinamuharibu?..haikuwa club indoor tulikuwa open club nilimuita ale chakula alitoka kazini. Nikajikuta nimeharibu siku nikamwambia tembea nenda kalale...nahisi akikuwa kidogo ataacha.
 
Hawa watu wa ukanda ule ndio walivyo, mkuu usipige hakuna kipigo kidogo wala kikubwa. Change your atitude, jiweke mbali na maisha yake but hudumia watoto wako.

Rafiki yangu alizaa na binti mmoja hivi wa Songea, basi bwana akaamua amtoe Songea na kumleta Dar akampangishia nyumba na kumfundisha biashara ya nguo akampa hadi mtaji akawa anaenda China. Huyo rafk yang ameoa so hakutaka tena relation na huyo binti zaidi ya kuendelea kusaidiana kumlea mtoto. Bwana bwana ijumaa moja hivi jamaa akasema ngoja nipite nimuone mtoto alichokuta hakuamini yaan yule binti kamchua mwanaume toka huko Songea kwao ndio wanaishi nae. Jamaa anasema hamkatazi kuwa na mpenzi ila si kuishi nae kwenye nyumba aliompangia na kutafuna pesa yake.
 
mpige makofi tu
usipaogope polisi we mpige tu

wangu kuna style nikimuangalia anarudi nyuma na kuaga kabisa
naweza kumchorea mstari kisha namwambia ukivuka huo nakuvunja
havuki hata siku nzima
[emoji23] [emoji23] haya bwana
 
Tia makofi huyo mama, hawezi kuleta lugha za sokoni mbele yako kama anaongea na shoga yake.
Ukiamua kufanya maamuzi ya kumpiga tafadhali piga kipigo cha hela yote ata asiweze amka hio siku ya kwanza tu na umueleze kuwa hio tabia ya kukujibu kama anaongea na shoga zake iwe mwanzo na mwisho...usimsikie fyoko fyoko utamuua!

Ili kila akikumbuka hilo awe anafikiria kauli zake before hajaziachia toka kinywani mwake. Trust me atakuwa mtu mpya kwa uzoefu na maelezo yako huyo manta unamdekeza sana.
 
Hawa watu wa ukanda ule ndio walivyo, mkuu usipige hakuna kipigo kidogo wala kikubwa. Change your atitude, jiweke mbali na maisha yake but hudumia watoto wako.

Rafiki yangu alizaa na binti mmoja hivi wa Songea, basi bwana akaamua amtoe Songea na kumleta Dar akampangishia nyumba na kumfundisha biashara ya nguo akampa hadi mtaji akawa anaenda China. Huyo rafk yang ameoa so hakutaka tena relation na huyo binti zaidi ya kuendelea kusaidiana kumlea mtoto. Bwana bwana ijumaa moja hivi jamaa akasema ngoja nipite nimuone mtoto alichokuta hakuamini yaan yule binti kamchua mwanaume toka huko Songea kwao ndio wanaishi nae. Jamaa anasema hamkatazi kuwa na mpenzi ila si kuishi nae kwenye nyumba aliompangia na kutafuna pesa yake.

Asante mkuu. Hili nalo.ni neno...na ndio maana ninaanza kuwithdraw energy yangu taratibu kwenye kazi zake na maisha yake nisijejutia. Akishindwa na wanangu nitamuambia awalete nyumbani tu
 
Tia makofi huyo mama, ha
Tia makofi huyo mama, hawezi kuleta lugha za sokoni mbele yako kama anaongea na shoga yake.
Ukiamua kufanya maamuzi ya kumpiga tafadhali piga kipigo cha hela yote ata asiweze amka hio siku ya kwanza tu na umueleze kuwa hio tabia ya kukujibu kama anaongea na shoga zake iwe mwanzo na mwisho...usimsikie fyoko fyoko utamuua!

Ili kila akikumbuka hilo awe anafikiria kauli zake before hajaziachia toka kinywani mwake. Trust me atakuwa mtu mpya kwa uzoefu na maelezo yako huyo manta unamdekeza sana.

wezi kuleta lugha za sokoni mbele yako kama anaongea na shoga yake.
Ukiamua kufanya maamuzi ya kumpiga tafadhali piga kipigo cha hela yote ata asiweze amka hio siku ya kwanza tu na umueleze kuwa hio tabia ya kukujibu kama anaongea na shoga zake iwe mwanzo na mwisho...usimsikie fyoko fyoko utamuua!

Ili kila akikumbuka hilo awe anafikiria kauli zake before hajaziachia toka kinywani mwake. Trust me atakuwa mtu mpya kwa uzoefu na maelezo yako huyo manta unamdekeza sana.

Nahisi ndo maana leo nimeamka.mapema.sana nitafute watu wameandika jinsi ya kumdhibiti mtu kama huyu...nilipofail.ikabidi nianzishe hii uzi...mii.method nimeiwaza muda.mrefu nadhani itafanya kazi
 
Vunja hiyo biashara halafu muache

O sasa watoto ataleaje? Kumwachia aendelee nayo ni sahihi zaidi? Siogopi lawama ya mwanamke..naogopa zaidi lawama ya watoto...wakikuwa watasema nilimnyayasa mama yao? Na hivi anavyojua kuframe hoja zake?
 
Hakuna haja ya kipigo. Mweleze unavyotaka akishindwa unamwambia unamwacha mtaandikishana namna ya kulea watoto. Bi mkubwa ametolea kuwa naye karibu upate raha achana na karaha
 
Nahisi ndo maana leo nimeamka.mapema.sana nitafute watu wameandika jinsi ya kumdhibiti mtu kama huyu...nilipofail.ikabidi nianzishe hii uzi...mii.method nimeiwaza muda.mrefu nadhani itafanya kazi
Kweli bro you will thank me later. Huyo mwanamke ni mdogo sana kwako so kumdhibiti ni rahisi sana kuliko vyote ulivyowaza na kufanya awali.
Mwanamke ukipishana nae umri sana anakuwa muoga sana na mtiifu endapo utakuwa firm kidogo. Hapo ndipo ulipokosea wewe. Alitakiwa akuhofie kama baba yake kabisa.
Sasa cha kufanya we tekeleza nililokuambia kwa weledi wote na kisha ondoa mazoea ya kumdekeza dekeza kijinga uwe kavu ila responsible father tu. Baada ya kulia kwa uchungu mwenyewe tu atakuja kugundua kumbe alikuwa anakosea sana automaticaly atajirekebisha.
Trust me baada ya hiko kipigo kitakatifu hatakaa alete kidomo domo tena na kama akikutishia kuondoka vunga tu usioneshe kumbembeleza hatoenda kokote amini hivyo na heshima itarudi mahala pake.Wanawake ni kama watoto mkuu kuna muda inabidi tuwanyooshe kwa adhabu kama walivyofanya baba zao.
 
Back
Top Bottom