Natamani kumpata kila msichana apitaye machoni mwangu? Why? Ushauri ...pls

Huu ni wimbo tu mungu akubadilishe.(Macho yangu yamejaa tamaa siachi msichana kupita mbele yangu, pamoja nakua nimeoa lakini sina hakika ndo udhaifu wangu, ni hurumie nisafishe ni badilishe mungu mwenye rehema) Mungu akuponye kutoka pepo la uzinzi.

Asante kwa ushauri.
 
Ufanyeje?
Fikiria kuwa huyo mkeo umpendae na ni mrembo anafanya kama ufanyavyo wewe...hiyo haitoshi kuwa sababu ya wewe kuirekebisha tabia yako? Au meshajichagulia "ajali kazini"?
Huogopi mungu,,sawa basi hata maradhi huyaogopi?
Majuto mjukuu, ndugu...Kapime kama bado uko salama huhitaji ushauri ,unajua nini cha kufanya...hata kama utakuwa umeambukizwa basi ujitahidi usiambukize wengine..kama unavyotamani kuendelea kuishi na wengine vile vile.

Asante. Japokuwa huwa natumia ndom, hiyo haitoshi, leo nimepima. Niko Ok. Lakini naamini kwamba nahitaji kupima tena next tym.
Mkuu ushauri nauhitaji make nataka nibadilike. Mkuu, pia kuwa na mke si hoja. Wapo watu wengi wana wake hata 2, lakini dogodogo hawaachi. Mimi nimekinai. Nilipofikia sioni kipya kwa demu temu tena. Mnene, mwembamba, mweusi, mnyarwanda, mweupe, na baadhi ya makabila, wahindi, waarabu, na hata mzungu from Denmark, tayari nimepitia. Naamini sihitaji zaidi ya hapo. Naweza kusema SASA BASI! Sitaki Demu tena!! Ndugu yangu mwanaJF, NewDawnTz amenipatia strategies. Mkuu kama nawe uko hivo, hata kama ni nusu au robo yangu, unamapungufu uache!!!
 
Sexual act is a psychological act, ndo maana huwezi kulifanya tendo hilo na ndugu wa karibu kwasababu akili inakataa. Ili uweze kupata hamu ya kufanya hivyo lazima akili ikubali na isitosheke na yule uliyenaye, ni sawa na kusema utamu wa pipi mate yako na utamu wa sex psychology yako! ukiitawala akili yako hiyo utawaona wanawake wote, kasoro mkeo, kama dada zako. Jambo hilo linawezekana kama utakubali kukaa chini ya nguvu iliyo kubwa kuliko akili yako nayo ni nguvu ya imani, wewe ni mkristo? ukristo unasemaje juu ya tendo hilo nje ya ndoa?wewe ni mwislam? uislamu unasemaje juu ya uaminifu kwa mwenzi wako wa ndoa? kama ungekuwa mkristo kama mimi pengine ungeweza maana kwa kumwamini kristo na kuzingatia kuwa nikitoka nje ya ndoa namhuzunisha na namwumiza ungeweza kutulia na huyo mrembo wako. Mimi nimeweza kukaa kwenye ndoa for almost 3 years na sijawahi toka na mwanamke mwingine na sina hamu kwasababu nimechagua kuishi maisha hayo. Fanya uamzi wa busara, ogopa kumuumiza mwenyezi Mungu kwa kufanya aliyokukataza, utaweza tu!Mithali 6:32 inasema "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Asante kwa ushauri wako. Ni kweli. Mazingira yangu ya sasa yamenifanya niwe hivi nilivyo. Awali nilipooa mwaka 2005, nilikaa hadi mwaka 2007 September ndipo nilipoanza kubadilika. Nilihama kiofisi nikawa mbali na mke wangu, ni kama km 50 hivi, siwezi kwenda na kurudi home. Huko nilikuta genge la watalaamu wa mambo hayo, bila kuwafahamu wakawa "company" yangu huko. Nikaanza hadai leo. Nimelitambua hilo, na sasa ndo maana nimeweka wazi ili nipate onyo na karipio. Unajua kimsingi tunafanya mambo tukiyafahamu, twaweeza kuoana outcomes, lakin normally impact inaonekana baada ya muda na sasa I can evaluate myself. Bila shaka ni mwanzo wa kubadilika. Naamini hivyo.
 
Baada ya kumkacha demu mmoja kanitishia kunisema kwa wife... Mhh kimbembe sasa!!!
 
Ok. Nonda, thanks for your critical suggestions and opinions.
You are welcome!
Sikuwa na maana ya kuziumiza hisia zako ila nilikusudia ujisaili na kuzungumza na nafsi yako ili usijempoteza mkeo unayempenda siku akigundua tabia yako hiyo unayoitafutia ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom