Na uzuri wake ataishia kutumiwa ndani wanaingia wale wife material au vipi?Yeye anadhani uzuri wa sura ndio tiketi ya kuolewa, labda alikuwa hajitumi??
Analeta ligi kwenye ndoa ya mtu wakati yeye hajaolewakuna watu na viatu huku duniani......Mungu akusamehe kwa kutumia uzuri wako vibaya. uzuri uko machoni mwa mtu anayekuangalia,waweza jiona mzuri kumbe yeye anamuona mkewe mzuri mara 100 yako.....tulizana tu na utubu,utapata akufaaye. Acha kabisa ligi na mke wa mtu.
Hapo ndio huwa wanakosea wanafikiri uzuri ndio everythingYeye anadhani uzuri wa sura ndio tiketi ya kuolewa, labda alikuwa hajitumi??
Ngoja tumsikilize atasema nini maana namuona hapa chiniNamvutia pumzi...
1. mwanadada uzuri pekee si kigezo cha kupendwa zaidi. So futa kabisa akilini mwako eti kisa we ni figure no 8 ndio utapendwa sana.2. Huo ukatili wa wanaume unauovutia upande wako eti!! Vp kuhusu ukatili alioufanya huyo jamaa kwa mke wake? Dont be selfish just stay away from them.3. Naona umeanza hadi kufikiria kumroga mme halali wa mwanamke mwenzako eti. Kwa nini usitulie na kumsubiri wako? Hakuna uchawi mzuri kma kumheshimu mumewe, kumjali na kuongea naye vizuri. Hivyo ndivyo wanawake wengi ambao ndoa zao zinadumu hufanya.4. Acha kumsumbua na kumfuata fuata mme wake hapo ndio huyo mke wake ataacha kukusumbua. Just live ur life and let them live their lives.
...hovyo kabisa huyo! bora ajiue tukamzike.Mkuu hapo ni KIMADA tu anafanya hivyo je jamaa angeamua kumuoa na kumuweka ndani si angemuua mke wa jamaa kabisa huyu wanawake wa namna hii ni hatari sana, halafu ameniacha hoi anapojisifia kuwa mke wa jamaa haoni kwake kwa uzuri hata kidogo sasa kama ndio hivyo haijulizi kwanini jamaa kamtosa halafu akarudi kwa wife wake pamoja sijui na figure 8 anayosema aliyonayo.
Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.

""Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu.""
kwa akili hiyo wanaume watawa2mia kwa sana tu, nani alikuambia kigezo cha kuolewa ni mwanamke kuwa mzuri peke yake? wengine ni wa kawaida kabisa nadhani bac tucngeolewa, pweeehhh wacha wawatumie tu wakiwachoka ndio kama hivyo tena, halafu umezungumzia ishu ya kwamba tunawaloga waume zetu?....yaani wanawake wengine wa ajabu kweli.

Mungu aturehemu tu, hii dunia ni ya ajabu sana. Kuna kitu nimejifunza kuliko kuwa na mume wa mtu afadhali mara mia saba ukawa tu peke yako. Mume wa mtu atakutumia tu na kukupotezea muda wako. Mume wa mtu atakutumia pale yeye atakapo kuwa na haja na muda wa kumtoroka mke wake. Huna uhuru na mume wa mtu, akikujaa moyoni utakuwa unasumbuka tu, wakati unatamani kumuona yy atakuwa kwa mke wake, wakati unataka kumsikia huthubutu kupiga hadi uhakikishe muda huo hayupo kwa mkewe. Dah tulia wakati utaamua.
Pole sana ndio inavokuaga kwani hujui? mke akigundua huwa uhusiano unakufa labda kwa vichwa ngumu, Ndio maana vimada wenye akili huwakumbusha wanaume zao kurudi nyumbani mapema kumheshimu mke, kutoonyesha kama ana uhusiano mwingine ili wadumu kwenye dhambi yao hiyo......Ushauri wangu hivi huoni raha kutafuta wako na wewe ummiliki mwenyewe na wewe akienda huko nje ana refer kwamba ana mke yaaani wewe? Unaweza ona umri umeenda ila hujachelewa bado jipe moyo na anza upya