Nachokushauri ndugu yangu ni hivi! Nenda kwa mama yako ukamuombe msamaha tena muangukie miguuni ukiwa na akili zako timamu sio unamwendea umepiga kiroba, acha pombe na wanawake pia, mwelekee sana Mungu swali khamsa swalawati mambo yako yatakwendea vizuri sana na utasahau shida zote.