Kweli unatafuta watoto!? Upo wapi kwanza!? Upo tayari kweli?Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo wakiambiwa wanakuja kunitembelea kwangu wanafurahi kupita maelezo
Ninapoishi ni karibu na eneo la shule ya msingi nikiwa naenda kazin wakati wa kuvuka barabara nikikuta watoto lazima niwavushe yan nawaona kama vimalaika eti na katika stori ambazo siwez kuzivumilia ni kusikia unyanyasaj au ubakwaji wa watoto yan kama ni kwenye radio naeza izima moyo unakuwa tu unauma
Mungu anisaidie nipate baba bora kwa watoto wangu
Duh!!!Mimi ni mwanaume rijali natafuta incubator!........... unaweza kuwa msaada kwangu please?
Kila la kheri Tamama.Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo wakiambiwa wanakuja kunitembelea kwangu wanafurahi kupita maelezo
Ninapoishi ni karibu na eneo la shule ya msingi nikiwa naenda kazin wakati wa kuvuka barabara nikikuta watoto lazima niwavushe yan nawaona kama vimalaika eti na katika stori ambazo siwez kuzivumilia ni kusikia unyanyasaj au ubakwaji wa watoto yan kama ni kwenye radio naeza izima moyo unakuwa tu unauma
Mungu anisaidie nipate baba bora kwa watoto wangu
Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo wakiambiwa wanakuja kunitembelea kwangu wanafurahi kupita maelezo
Ninapoishi ni karibu na eneo la shule ya msingi nikiwa naenda kazin wakati wa kuvuka barabara nikikuta watoto lazima niwavushe yan nawaona kama vimalaika eti na katika stori ambazo siwez kuzivumilia ni kusikia unyanyasaj au ubakwaji wa watoto yan kama ni kwenye radio naeza izima moyo unakuwa tu unauma
Mungu anisaidie nipate baba bora kwa watoto wangu
Usijali hata humu JF wapo wengi sana. Kazi kwako.Mungu anisaidie nipate baba bora kwa watoto wangu
Pata mapacha wa kufanana kutoka kwangu..! Kwetu kuanzia bibi mzaa baba mpaka mzaa mama, pamoja na mama mzazi jumlisha na baba mzazi wako na pacha zao..! Mimi nnapacha wangu wa kufanana. Watoto wa mwisho wa mama pia ni mapacha.!Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo wakiambiwa wanakuja kunitembelea kwangu wanafurahi kupita maelezo