Mimi niko Dodoma huu ni mwaka wa 27. Dodoma ni mji mzuri sana kuishi na hata bei za viwanja vya kujenga ambavyo vimepimwa ni bei ya chini ukilinganisha na miji mingine.
Kuhusu mzunguko wa fedha kwa sasa ni mzuri maana watu wameongezeka sana. Wewe fika mwenyewe tembea ujionee kisha ufanye uamuzi.
Karibu sana.
Sent from my TECNO BB2 using
JamiiForums mobile app