Natamani kufunga account ya fb ya my g friend

huyo msichana wako anatumia jina gani huko fb? nipe jina la account yake,nimesaidia watu wengi wenye matatizo kama yako!
 
huo utoto sasa ina maana humwamini?
lakini ndio matokeo ya FB hayo kila kitu kina hasara zake watu wengi wamevunja ndoa kwa sababu ya FB kuweni makini hamtagombana.
mi nimeamua kujikita na JF kwani ninajihabarisha ninajielimisha na ninajiburudisha kwangu hii inatosha.
 
Kufunga huwezi (sababu sio yako na huku itakuwa ni kushinikizana)

Unachoweza kufanya ni kumwambia kwamba wivu unakusumbua na unaomba abadilishe status au kile kinachofanya watu wamsumbue kwa kumtaka (ila wanawake huwa watu wanawatamani) kama unataka asiyetamanika sijui utampata wapi

Ila hakuna kisichowezekana kwa kuongea kwa busara Ukishinikiza na kulazimisha utamkosa na atakukimbia (hakuna mtu anayependa kulazimishwa / kushurutishwa)
 
Binadamu Hachungwi hivyo
Kama ni mchafu hata ukimnyima mawasiliano yote atafanya tu uchafu wake

TUMIA HEKIMA KULIWEKA SAWA JAMBO HILI KATI YENU
 
mambo ya kufungua fb ilitaka kumtoa roho bebi wangu...sasa chunga sana na fb itakuvunjia uhusiano....kule mijitu inaandika tu bila kuwaza ilimradi mtu kajifurahisha,sasa heri unaziona inbox za kuomba nr za simu kuliko nilizokuwa nazipata mimi.Ilimradi unajua mwenza wako ni wa dizain gani basi huwezi ishi kwa wasiwasi,
 
Gf tu unamfualia hivyo! Je mke? Si utamfungia ndani kabisa asionekane.mh mapenzi ya watoto bana
 
I hate control frks... Jus bf tu?we utongozagi?kwan nayeye anatoa namba?sa wewe paswd yake yanin,kama ni mrembo,utakufa kwa concussion! Coz ata cyo fb, kwan upo nae mda wote?mwambie awablock wote na asiwaintatein.
Anyway me ndomana sijajiunga na sitakaa nijaribu..bora uku uku,.mnachangia uzi na ma ex,hawara,mume,bf,ad raha no1 knws u

nahisi you are my x.na yeye alikuwa na msimamo kama wako.ebu nipe elements tano za your x.mh
 
Una mamlaka gani ya kisheria au ya kisosholojia kufunga akaunti ya girl friend? Ufunge account yake wewe kama nani? You're just a boy friend dude! Namshauri huyo gf wako akiona hii post yako akupige chini mara moja, maana kama unawaza mambo kama haya wakati wewe ni bf tu, mtakapooana je itakuwaje?
Young man, stand up like a real man, not like a boy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom