umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Wakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali