Natamani kudate na mzungu

Da Anfibix ukimpata ... Kama ana ndugu zake wa kike usinisahau.. Nami huwa nawatafuta.. Kweli wazungu wakike..
 

Dada kama unataka wazungu jiandae na haya:-

Kwanza jiandae kupoteza Marinda kama bado yapo, Wazungu hawanaga mipaka.
Halafu wazungu huo wizi wa sijui mpaka tukioana hawanunui, mukielewana hata siku hiyohiyo munaanza kugegedana
Hao wataliana uliokua huwataki ndio wazungu wanaolipa kuliko wote, mana ndio wanaopenda ngozi nyeusi. ILa ndio hivo ni hatari zaidi kwenye Umber Ruth

Ukishayakubali hayo basi Jivute Zenji maeneo ya mashamba au hata Stone Town kule wapo kibao wenzio kibao washatisua maisha na kupata hiyo Romantic onayotaka lakini marinda yakiwa yashapotea
 
Sio kila mwanamke anapenda matango, kwani ni vitaa. I love making love, romantic kinda love. Sio kugongana km mche na kinu. Afu wanaume wengi wanadhani kilamwanamke anapenda maumbile makubwa, hapana haipo hvyo.
Majority are uncircumcised.[emoji16]
 

Wazungu vijana hawadate na wadada wa kibongo..apo utapata mzee..pa kuwapatia nenda hoteli zinazosave italian food..ukibahatisha kijana jua umepata player anakukula na kibamia chake then unakula kibuti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…