Wabongo umeshawapitia wangapi mpaka ukaona nothing new toka kwao? njoo huku kwa malkia tubebe box achana na kutafuta maisha ya mteremko.New experience. Wanaonekana wapo more romantic. Yani hivyo, kitu kipya and mapenzi ya wabongo ni yale yale nothing new
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]Njoo inbox mimi ni Mzungu.
Wanaiita hivyo huku mtaani.
Wazungu wanapenda sana Manyonyo Makubwa, Wezere Kubwa na kuwa realistic.
Usiwe mswahili. Kuwa straight. Siku akikutongoza akataka mzigo, achana na mambo ya Uswahili kuwa ooh subiria kwanza tujuane. Be straight. Be faithful.
NOTE: Mimi siyo mdada, nimekupa hints tu.
okay mami Anfibix kama ishu ndo hiyo basi usimtafute mzungu rangi tafuta mzungu tabiaNew experience. Wanaonekana wapo more romantic. Yani hivyo, kitu kipya and mapenzi ya wabongo ni yale yale nothing new
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]
okay mami Anfibix kama ishu ndo hiyo basi usimtafute mzungu rangi tafuta mzungu tabia
coz kuna wenye Ngozi nyeusi ambao ni wazungu ndani yao wapo amini usiamini
achana na hao wazungu rangi wanaweza kukufundisha hata mambo ambayo hayafundishiki(if you know what i mean) maana mambo mengi ya kiupuuzi yanaanziaga kwao,so kitu cha ajabu kwetu kinaweza kuwa cha kawida kabisa kwao
jitulize tu tafuta taratibu na pole pole umpate mzungu tabia,ukipata mzungu rangi na anavyo unavyotaka sio mbaya pia mkayajenga ufullfill desires zako
all the best mami
Atembee uchi au avae nguo?Nenda katembelee hotel kubwakubwa kama DoubleTree Hilton..kuna slipuwei,nenda Zanzibar pale forodhani tembelea hotel za kitalii utawapata.