the accountant
Member
- Jan 15, 2017
- 8
- 3
usitamani anzisha kwa hicho kidogo ulichonacho.Habari wana jf
Nimekua nikiumia sana na uharibifu unaofanywa na watu kwenye uoto wetu Wa asili. Nina wazo LA kuanzisha non profit organization itakayo kua ikitoa Elimu kwa vijana na jamii kwa ujumla jinsi ya kutunza na kuhifadhi uoto Wa asili.
Kwa yoyote mwenye kuhitaji kujiunga nami katika kutimiza wazo hili naomba tutaftane na mwenye uzoefu Wa maswala ya formation ya NGO's naomba anielekeze
NB.
Its a NON PROFITABLE ORGANIZATION I don't expect you to charge me.
KwaniniHii kutafuta watu mitandaoni ni risk sana, hasa nyakati hizi za mtawala mtukufu.
Kuna uwezekano ikawa ni miwani nyeusi inaweka mitego yake.
Anyway, kila la kheri Mkuu kama dhamiri yako ni njema.
PamojaPamoja mkuu!!uoto wa asili unatoweka fasta.
Saws sawausitamani anzisha kwa hicho kidogo ulichonacho.
Anzisha yako ya kusaidia watoto yatima,ila mleta mada ana IQ ya hali ya juu kabisa ameonana kitu ambacho wewe huwezi kukiona kamwekweli nije nitumie pesa zangu,muda wangu na nguvu kwa ajili ya uoto??? WTF!!! bora nikasaidie watoto yatima na wagonjwa nahisi nitabarikiwa zaidi.
kuwa na IQ kubwa ndio kulinda uoto? hayaAnzisha yako ya kusaidia watoto yatima,ila mleta mada ana IQ ya hali ya juu kabisa ameonana kitu ambacho wewe huwezi kukiona kamwe
Si unaona sasa! Ecco system nzima inategemea uoto wa asili.kuwa na IQ kubwa ndio kulinda uoto? haya
Huo neo uwezo wako Wa kfikiri ulipo fikia hakuna haja ya kutukana au kukejeli wazo LA mwenziokweli nije nitumie pesa zangu,muda wangu na nguvu kwa ajili ya uoto??? WTF!!! bora nikasaidie watoto yatima na wagonjwa nahisi nitabarikiwa zaidi.