Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 748
Wadau wa teknolojia mimi ni mtumiaji mpya wa android phones nina mwezi mmoja tangu ninunue simu hii.Napenda kufahamu machache juu ya rooting kama:
1.Faida zake.
2.Hasara zake.
3.Apps nzuri za rooting kwa simu ya aina hii.
Nitashukuru Sana kwa michango yenu.Naombeni mnivumilie kama nitakuwa nimerudia mada iliyokwisha jadiliwa humu.
1.Faida zake.
2.Hasara zake.
3.Apps nzuri za rooting kwa simu ya aina hii.
Nitashukuru Sana kwa michango yenu.Naombeni mnivumilie kama nitakuwa nimerudia mada iliyokwisha jadiliwa humu.