Sawa kabisaa MkuuHpn chukuwa usiye mjuwa kbsa kbsa Ni vzr Zaid nadhani mnaifahamu hopitali ya seko toure ya mwanza na hodi ya seko toure iliyoko Arusha pale
Yule jamaa aalikuwa adopted na rais wa ginne bissau kipindi hcho alikuja Tanzania kumuona mwlaimu nyerere ndio kufika na kumuomba yule kjn wa kimasai aende akaishi nae amfanye Kama wa kwake wa kumzaa kbsaa
So yule jaama ni mmasai alikuja kurudi na kuwa daktari wa serekali na kuwa mtu muhimu Sana plz mchukue siamini katk matezo naamini katk malezi usimdekeze apewe equal traetment haswa hata mashamba mlimishe na kila kitu afanye na mawanao yule
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante sana MkuuNakupa 100%. Wazo jema sana, changamoto itakuja kama watoto hao wakuasili na huyo wako watajua kuwa wanatofauti, ikiwa utaifanya kuwa siri yako, yako mwenyewe na kila mtu wakiwamo nduguzo wakajua ni wanao utakuwa umefanikiwa sana. MBALA, NE alisema "Wale walionilea ndio wazazi wangu, na wale ninaowalea ndio wanangu, vinasaba vitafanya kazi nyingine (Those who raised me are my parents, and those i'm raising are my children, DNA will save other purposes)"
Amina. Naliombea litimieMungu akusaidie utimize
Ingawa hujaeleza vizuri...Pole sana, maana wakishakuwa ndo utajua hujui
Wamuuzie Tena mtot jmn usinunu mkuu hpn usinunue Kama hawataki kukupa kwa Nia njema waache na watot wanaowafanya madiliNi wazo jema sana.
Kwa Tanzania niijuayo, sasa hivi vituo vya "yatima" ni biashara, ukienda na pesa ndefu wanakupa mara moja (wanakuuzia).
Mwenyezi Mungu ajaalie wazo lako litimie.