Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
Wandugu wapendwa nimeguswa sana na Jeshi la Serikali ya Misri! Hakika hilo ndilo Jeshi la Wananchi, Jeshi lenye uvumilivu, Jeshi lenye kuwasikiliza wananchi na matakwa yao na Jeshi lenye kutenda Haki! Jeshi hilo lilikaa kando wakati wa maandamano ya wananchi kumpinga Rais Mubarak! Limekaa kando wakati wa maandamano ya kumpinga Rais Mursi! Halikutii amri ya watawala kuwapiga na kuwaua raia wanaopinga tawala za marais tajwa! Sio kama Jeshi la Waziri Mkuu Pinda linalotii amri za watawala bila kuhoji matakwa ya wananchi ni nini na ukweli wake! Natamani JWTZ yetu iwe kama Jeshi la Misri! Lakini sidhani kama litakuwa hivyo...na hivi Pinda keshawaongezea meno..."Nasema wapigwe tu...."! Mmmh tutapigwa tu!
Hebu tutiririke sifa za Jeshi la Serikali ya Misri tulinganishe na Jeshi letu!
Hebu tutiririke sifa za Jeshi la Serikali ya Misri tulinganishe na Jeshi letu!