Natamani ijengwe dar kwa ajili ya boda boda

Natamani ijengwe dar kwa ajili ya boda boda

CLEMENCY

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
211
Reaction score
120
architecture-worlds-first-suspended-bicycle-roundabout.jpg
 
Kiukweli si tuko huku kuwasindikiza wanadamu teule wengine duniani wale ufalme wao wa mbinguni duniani.
 
Kama serikali hii ya ccm ikiacha ufisadi wa kuibia nchi hii tutafika huku.
 
Hili nalo neno, na watembea kwa miguu eeh?
 
Nahisi hii ni picha ya mwaka kama sio ya mwezi.

Inabidi niiweke kama background pic
 
Hii ni real picha au plan picture mkuu?????
 
Back
Top Bottom