Natamani hata kuondoa uhai wangu

Natamani hata kuondoa uhai wangu

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.

Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.

Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia

Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.

Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai

NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
 
Wadau habari zenu ,

Wadau mimi nikijana (28)yrs nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazi lakini pia nilikuwa
Mkuu pole na sijui uliwaza nini huna pesa halafu ukawa mlevi. Ila kumbuka maisha yako yana thamani kuliko laki 5. Kuna mtu humu yeye alihustle akapata pesa akaibet mils sijui 3 ikaliwa na hakuwahi kujiua.
 
Pole kwa changamoto.....
Kama ulivyo pambana mwanzo ukapata ajira ndo upambane tena upate nyingine...... Kujiua sio suluhisho....humu usione watu wana type kila mtu ana shida zake....kikubwa pambana kiume hakuna maisha mteremko hata siku moja..... Unae mtamani uwe kama yeye hujapata kusikia aliko pita..... Anza upya
 
Wewe bwana utakuwa ni mlevi sikuzote, acha kisingizio cha kukosa kazi, na ubaya wa watu wa aina yako huwa mko selfish sana mana nna mdogo wangu nae anatabia hiyo, akiishiwa ni ku play victim namajuto mengi, ngoja apate hata elfu 50 kama atakamatika
 
Wadau habari zenu ,

Wadau mimi nikijana (28)yrs nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazi lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benk ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi
Pole sana ndugu jambo kama hili si kwako tu huwakumba wengi sana unachopaswa kufanya ni kukubali kwamba umefanya makosa tayari,kubali kuanza upya kwa sababu 500k umetumia kwenye gambe kwa ridhaa yako mwenyewe na starehe zako kwa hiyo kubali adhabu iliuojipatia mwenyewe utatoka taratibu kwenye hiki kifungo
 
wewe bwana utakuwa ni mlevi sikuzote, acha kisingizio cha kukosa kazi, na ubaya wa watu wa aina yako huwa mko selfish sana mana nna mdogo wangu nae anatabia hiyo, akiishiwa ni ku play victim namajuto mengi, ngoja apate hata elfu 50 kama atakamatika
Huwa sinywi pombe kiasi hicho
 
Pole sana ndugu jambo kama hili sisi kwako tu huwakumba wengi sana unachopaswa kukubali kwamba umefanya makosa tayari kubali kuanza upya kwa sababu 500k umetumi kwenye gambe kwa ridhaa yako mwenyewe na starehe zako kwa hiyo kubali adhabu iliuojipatia utatoka taratibu kwenye hiki kifungo
Ahsante
 
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi

Jiue tu kwa kweli, pamoja na shida zote hizo ume sevu laki 7 mda mrefu, halafu kazi imeisha umetumia laki 5 siku 5, we nenda tu aisee
 
Pole kwa changamoto.....
Kama ulivyo pambana mwanzo ukapata ajira ndo upambane tena upate nyingine...... Kujiua sio suluhisho....humu usione watu wana type kila mtu ana shida zake....kikubwa pambana kiume hakuna maisha mteremko hata siku moja..... Unae mtamani uwe kama yeye hujapata kusikia aliko pita..... Anza upya
Sawa ahsante kwa ushauri boss
 
ulinyweshwa au uliamua tu kuumwagilia moyo wako?? ukishajiua ndio utakua umetatua tatizo?? yan umejikuta tu umelewa?? id yako iliozoeleka ni ipi ili mods waiweke ile r.i.p??
Ukishajiua ndio utakua umetafua tatizo? Ni swali la kijinga sana
 
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.

Miaka 28 unataka kujiua sababu umetumia akiba yako yote kunywa Pombe!?

Acha hizo habari za KUJITOA KAFARA

Wewe una nafasi kubwa ya kutengeneza maisha yako upya. Tuliza kichwa utapata cha kufanya.
 
Pombe unywe wewe kwa pesa na starehe zako afu unakuja kututisha eti unataka kujiua?

Vijana acheni kudekadeka kifala mtakuja kuliwa shauri yenu, Jana Kuna kilema mguu mmoja umekatika nimemuona anafanya kazi ngumu si kitoto, mtu Hana baadhi ya viungo hajakata tamaa Wala kukufuru anapambana!! Kijana una 28yrs upo vizuri tu eti unataka kujiua???
 
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.

Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.

Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia

Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.

Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai

NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
yaani kila siku unakunywa laki, kisha unalialia umaskini hapa....vijana wengine wa siku hizi uwezo wenu wa kufikiri una shida kubwa
 
Miaka 28 unataka kujiua sababu umetumia akiba yako yote kunywa Pombe!?

Acha hizo habari za KUJITOA KAFARA

Wewe una nafasi kubwa ya kutengeneza maisha yako upya. Tuliza kichwa utapata cha kufanya.

Hana, labda aache ulevi, mwache aende, watu hawana figo wanasikitika vitandania, yeye laki 5 kachoka kuishi, bro harakisha kufa
 
Back
Top Bottom