Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,277
hakuna kuhama nawe leta mwingine hapo hapo, afu asithubutu kukushobokea tenaPiga moyo konde na usonge mbele,kwani kuvunjika kwa mahusiano yenu sio mwisho wa maisha,mshukuru Mungu kakuonesha mapema aina ya mwanaume uliyekuwanae,mwanaume anashindwa kuvumilia hata mwezi mmoja hakufai. Waswahili wanasema pindi ukizaliwa unaambiwa wapo sio yupo kwa hiyo vumilia aliyekupangia Mungu bado hujakutana naye.
Ikiwezekana hama kwenye hiyo nyumba tafuta chumba kwingine.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wewe mtoto sisi tunaomba tuishi miaka kama ya kobe, wewe unataka kukatisha maisha yako. Maisha matamu wewe, kwani huyo jamaa umezaliwa nae; mbona tupo wengi tu. Hebu nitwangie PM tuanze upya, next time ukija tena hapa Mwanza tukutane!.
You are right on the money Preta, you never know. Anaweza akaja hapa Mwanza akakakutana na sisi wavuvi wa Sangara na akatu-mind vile vile. Kama ana mpango wa kuja tena huku kanda ya ziwa, please tufahamishane!.Aaaah......kumbe amekuja mpaka Mwanza halafu hajawaona watu kama nyie........!!!!.....inabidi kila anapoenda aweke thread kule chit chat Kama ilivyo ada.......huwezi jua bana.......
Watu wanachezea uhai wakati sisi wengine hatutaki hata kulisikia neno Kifo!.Nani kakuambia kujiua ndiyo suluhisho.
Kwanza acha kuwa mbinafsi, una wazazi, siblings? je, upendo wao kwako huuoni na kuuthamini? sasa kuliko kujitoa maisha kwa kiumbe ulichokutana nacho ukubwani, kaa chini tulia na uachane na mawazo hayo mbaya. Usifanye maaamuzi ukiwa na hasira.
Hiyo ndo baadhi ya misukosuko ya mapenzi. Be strong bidada!!
unajua watu wengine wanachukua serious ndugu alafu akinywa akifa kuna nchi nyingine utafungwa for inciting suicide..sio fresh.Nakushauri kwa mapenzi mema kabisa kunywa sumu upumnzike kwa amani
mimi ni msichana wa miaka 26, naishi arusha nilikua na mchuchumba wangu ambae tumedum nae kwa miaka 2 na kupanga mambo mengi ya kuoana wote tumepanga nyumba moja japo kila mmoja anakaa chumbani kwake dec nilisafiri kwenda likizo nyumbani mwanza nimerudi jan 10 nimekuta kaanzisha mahusiano na dada jirani tena tumepanga nae nyumba moja nifanyeje wana JF yaani wanapika na kupakua yule dada ananiwekee nyimbo za mafumbo. taarabu, mpaka nakosa ham ya kuishi nilipomtaka nimuulize mchumba wangu imekuaje maana hatukukosana kabisa hataki kupokea cm yangu ananisalimia tu basi nampenda sana jamani naumia nashindwa niongee na nani anisaidie mimi niende wp jaman haaa kwel dunia haina huruma
unadhani ukijiua utakuwa umemkomoa???? Au umejikomoa mwenyewe kwa kukatisha maisha yako???? Yaani ukifa tu mwenzio ndo anamuoa kabisa hiyo mwanamke.
dawa ni 1. Hama kwenye hiyo nyumba
2. Chukulia kama ajali....... Wapotezee na vumilia hivyo vijembe
2. Tafuta mtu ajifanye bwana wako aje kushinda hapo kaeni angalieni moviiiiiiiiii(ukimpa kipapa shaurilo)