Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
isijei kawa kama ka yule jamaa karibu na mlimani city,tehe teheeeeeAidha njombe,dabaga, kalenga. Yani nyanda za juu kusini huko.
Nina kabanda kasiri nimekajengaga huko ndaani safi sana kwa kutuliza akili!
Aidha njombe,dabaga, kalenga. Yani nyanda za juu kusini huko.
Nina kabanda kasiri nimekajengaga huko ndaani safi sana kwa kutuliza akili!
Hali nzuri sana ya hewa na mandhari