Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,631
Reaction score
18,675
Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .

Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna watu humu wanasema eti jamaa nyimbo zake zilikuwa za kawaida sana, mara sijui ni freemason wamempa umaarufu na conspiracy theories nyingi ilimradi kumchafua .

Ila kwa wanaojua mziki wake huko duniani haswa live concerts Jamaa alikuwa kwenye ligi ya peke yake. Ogopa watu hususani watoto wa kike walikuwa wanazimia tu kwa kumuona , wengine kububujikwa na machozi kama luka wa magogoni.

Itoshe kusema jamaa alikuwa anajua na anaujua mziki. Sasa mimi natamani Mondi afike level za huyu jamaa yaani mfano kama mondi atue pale Arusha ,shughuli zote zisimame na awe na msafara unaomsindikiza tu akitua Airport zisipungue gari 100. Na mfano Watoto wa kike watoroke shule kwenda kumuona. I wish bro Mondi afikie hii level ya Fame.
michael-jackson-et-ses-enfants-prince-et-paris-quitter-un-batiment-avec-une-escorte-de-police-...jpg

michael-jackson-s-motorcade-sponsored-by-range-rover-rolls-royce-8566_1.jpg

encino-ca-michael-jacksons-procession-accompanied-by-a-police-escort-and-a-motorcade-of-black.jpg
 
Mzee sidhani kama kuna msanii kwa dunia ya sasa anaweza fika level za MJ.
Na kumbuka enzi zile hakukua na mitandao ya kijamii ila jamaa anatambulika mpaka kesho.

Conspiracy theories kumuhusu bado ziko hai na zinafatiliwa, jamaa hakua wa kawaida aisee.
 
Hata mimi niko miongoni mwa kuzifuatilia hizo conspiracy theories kama ni za kweli..
Sema nyimbo zake ninazo asee nazikubali
Screenshot_20250727_202800_Music Player - DDMusic.jpg
 
Mzee sidhani kama kuna msanii kwa dunia ya sasa anaweza fika level za MJ.
Na kumbuka enzi zile hakukua na mitandao ya kijamii ila jamaa anatambulika mpaka kesho.

Conspiracy theories kumuhusu bado ziko hai na zinafatiliwa, jamaa hakua wa kawaida aisee.
Naunga mkono hoja
 
Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .

Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna watu humu wanasema eti jamaa nyimbo zake zilikuwa za kawaida sana, mara sijui ni freemason wamempa umaarufu na conspiracy theories nyingi ilimradi kumchafua .

Ila kwa wanaojua mziki wake huko duniani haswa live concerts Jamaa alikuwa kwenye ligi ya peke yake. Ogopa watu hususani watoto wa kike walikuwa wanazimia tu kwa kumuona , wengine kububujikwa na machozi kama luka wa magogoni.

Itoshe kusema jamaa alikuwa anajua na anaujua mziki. Sasa mimi natamani Mondi afike level za huyu jamaa yaani mfano kama mondi atue pale Arusha ,shughuli zote zisimame na awe na msafara unaomsindikiza tu akitua Airport zisipungue gari 100. Na mfano Watoto wa kike watoroke shule kwenda kumuona. I wish bro Mondi afikie hii level ya Fame.
View attachment 3420869

View attachment 3420872
View attachment 3420870
Daimondi yupo ukingoni awezi kukua tena zaidi atakuwa anashuka
 
Back
Top Bottom