Natamani bara ingekuwa kama pemba...

Me naona ni haki yao tu, atakayekwazika kwa kuwaona hivyo wakati amefunga bora afungulie tu tujue moja!
 
umemwonea hapo mimi ndo nilikuwa napiga hiyo nyagi,kumbe nilipoenda uani ukamvizia wife to be na kumfotoa?
nisikukamate.
 
mkuu haki yao ila si kwa hilo vazi banaa...tena mwezi huu

Kaka kwa mavazi ndo usiseme kabisa, yaani vazi ndo linakukwaza wakati mtu yeyote anaweza kulinunua dukani au alipeleka kitambaa kwa fundi na kushonewa hivyohivyo!
 
Kwa hiyo unwmuita apo uje mpiga picha au na we ilikua mmoja wapo manake picha yaonesha umempiga wewe kwa mbele ahhahhhahha :-D :-D
 
Kwa hiyo unwmuita apo uje mpiga picha au na we ilikua mmoja wapo manake picha yaonesha umempiga wewe kwa mbele ahhahhhahha :-D :-D
ntake radhi mamaafacebook....mwezi wote huu mi siingi bar
 
Hilo ni vazi tu kila mmoja anaweza kulivaa kama uonavyo kwenye picha.

Tena siku hizi wale wenzetu wanalivaa kweli kweli, si unaona picha hiyo, wanaona lina lipa. Mtu anaona kapata kumbe kapatikana.

hahahaha! anafikiri kapata kumbe kauziwa mbuzi guniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…