Natamani 2020 ifike mwaka kesho

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Cha habari hapo juu chahusika, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka26, nmesoma nina bachela ya sheria, wazazi wangu ni wakulima huko tabora, yaani naitamanije 2020 jamani...

Asanteni wapendwa.

Nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Cha habari hapo juu chahusika, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka26, nmesoma nina bachela ya sheria, wazazi wangu ni wakulima huko tabora, yaani naitamanije 2020 jamani...

Asanteni wapendwa.

Nawasilisha.

Hii "bachela ya sheria" uliipata kutoka chuo gani? Na uliipataje?
 
Cha habari hapo juu chahusika, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka26, nmesoma nina bachela ya sheria, wazazi wangu ni wakulima huko tabora, yaani naitamanije 2020 jamani...

Asanteni wapendwa.

Nawasilisha.
Kwa nini bwana? 2020 ina lipi la kuitamania, hebu funguka!
 
Kwani 2017 imekukwamishaje?au zile ajira za waalimu wa arts zimekukwamishaje na bachela yako ya sheria? Sio kila jambo ni la kushabikia rudi tabora ukaendeleze kilimo cha umwagiliaji kijana.
 
Back
Top Bottom