Obama mambo ya siasa .nimemwambia mume wangu sitaki pressure.mume wangu ata deal na hayo kanigongea mlangoni Kwangu .nina watoto watajibebaSi mnakumbua hata alikuwa anakuja na maneno mengi eti Obama atashindwa, tukawa tunamwambia asuburi tuone matokeo tarehe 06/11/2012....lakini akawa hasikii akawa anakuja tu na kelele zake...Naona kelele za Obama zimeisha, sa anamuandama mama mkwe wake :biggrin1:
we Natalia,kwanza why did you vote for Romney?umeona sasa bahati mbaya zinakuandama?
anyway,piga kimya subiri na wewe ufike miaka 70 utakapojikuta na wewe n.ye.gee zimekushika ndio utajua kwanini hicho kibibi kimefanya hivyo!
Dementia kitu gani wacheza na genye ww, mind ur busines bana!
Hakutiokea siku ile sijui alijua nitamchuna, wanaume wa Bara wako wabahili
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
Labda unaongelea karne ya 20 sio 21.ama kweli ngombe hazeeki maini,,, dah huyu kizee inaonekana mwili wake uko fiti kiaina, maana wengi baada ya kuingia menopouse huwa wanakosa libido au inapungua sasa huyu hadi 70's dah natamani kama kuna mjukuu wake nimpate maana huyo nitajichumia hadi uzeeni,, in short wapo wachache wa aina hii
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.
G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.
Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.
Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.
Labda unaongelea karne ya 20 sio 21.[/QU
sijui unawajua wangapi ila binafsi mashallah
Umenifanya no google yaani mpaka miaka 80 mpaka 90.you tube angalia.usibisheMama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.
G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.
Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.
Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.
G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.
Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.
Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
Mungu wangu huyu mbaba anagonga mlango nitakoma