Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
jamani fanyeni kazi jamani....mda wote mnawaza papuchi tu? mda wa kazi huu...ndomana zinapanda bei kila kukicha, madem wanapandisha bei,,,saa moja usiku angalau ndo tujadiri papuchi
Kazi za kufanya ziko wapi wakati meli hazileti mizigo bandarini?
Basi leta mahindi tupukuchue...
 
Kweli mapenzi nayo bila uongo uongo hayaendi.

Wakati mwingine kijitu hata kama hukipendi unakiambia unakipenda ili mradi tu.

Laiti tungekuwa na uwezo wa kuona yaliyomo mioyoni na vichwani mwa watu kuhusu mapenzi, sijui hii dunia ingekuwaje.
Ingekuwa si sehemu salama
 
Mi mwenyewe nasubiri Kiranga anitongoze apa
Let's take a trip to Jamaica, go to London see double deckers
Get away from all the fakers, go mingle with money makes
Baby you're fly, when I'm with you I don't wanna say bye
No lie, you don't need another guy
What you need Imma buy
Better yet, imma provide
The love, companionship, the house and the ride
Cause I'm cut from a different cloth
Soup from a better broth
None of that lazy sloth
I'm the boss and the servant, both.
So, lend me your ear, have no fear right here
Kiranga Cha Ngeda, your gentleman is near
 
Fact. Ishanitokea baada ya kuona natoka na rafiki yake ndo anasema nlkua nakupenda
 
Fact
 
Kiruu kya mai
 
Au ulikuwa na maneno mengi yasiyo na maana. Mara, oooh.. Mimi nina pesa nyingi! Ooh, baba yangu ni mwenyekiti wa kijiji. Au chuo kikuu nilipata first class

Pass ndefu kama za Mjerumani
we unavyofikiri alitakiwa aongee mameno gani ili aeleweke kwa haraka?
 
wewe ni muhaya?
 
Mwingine anasema tupige story tu... Hlf tuondoke, Lodge. Hajui kama umelipia pale... Saa nyng najiuliza alingia kufanya nn....
 
Nah dude.

She's not worth that effort.

Mimi nimeshajiwekea SI Unit...Maharage ya mbeya weka mbali na mimi...tongozo walau miaka miwili it worth! Sio kuwaza kuota ndoto ya kumtongoza mtu kesho unakuta kakukubali wakati bado!
 
Wahivyo wanamakusudi sana, yaani anataka mwisho wa siku awe na ushahidi kuwa ulimtongoza mwenyewe.
 
Mimi nimeshajiwekea SI Unit...Maharage ya mbeya weka mbali na mimi...tongozo walau miaka miwili it worth! Sio kuwaza kuota ndoto ya kumtongoza mtu kesho unakuta kakukubali wakati bado!

Ooouch!

Umegusa maslahi ya watu hapo.

Mie simo na mchanga wa pwani huoooooooo

Na hapo in the meantime na in between time kuna njema inamega huku wewe unawekeza kwa miaka miwili.

 

Attachments

  • upload_2016-7-26_10-20-29.jpeg
    2.2 KB · Views: 30
Mi bila kupokea maneno matamu sijatogozeka bado. Haaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…