Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.

Hakuna hata anayenijua humu kwa hiyo hata wakinikuta hawatajua kama ni mimi.

Lakini unajua nini, hata wakinikuta hawatakuwa na baya la kusema lililo la kweli.

Kama wakisema baya basi itakuwa uzushi tu.

USA baby .
 
Kutongoza kwa jina lingine kunaitwa. Kuomba sehemu ya siri ya mwanamke
 
Hakuna hata anayenijua humu kwa hiyo hata wakinikuta hawatajua kama ni mimi.

Lakini unajua nini, hata wakinikuta hawatakuwa na baya la kusema lililo la kweli.

Kama wakisema baya basi itakuwa uzushi tu.

USA baby .
Hivi kwanini watu wanakufatilia sana humu?
Haki ya mimi siku ukijitoa jf kuna watu nao watajitoa humu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…