Nataka ujinga kwani mimi?

Nataka ujinga kwani mimi?

Jinsi ya kuondoa pattern lock kwenye cm ya mumeo/mpnz wako..........!!!

Kwanza muwekee maji ya kuoga akienda kuoga chukua cm yake iweke chaji kwa angalau asilimia 80 kisha muandalie chakula akishakula kaeni angalieni Tv kwa saa 2 mukipiga story za kujenga kisha kaitoe cm mpe mwenyewe cm yake utakuwa umejifunza jinsi ya kumuhudumia mumeo shenzy sana.............

[HASHTAG]#Unataka[/HASHTAG] kuona nini kwenye cm umbea tu utakufa kwa presha cheza nafas yako, michepuko n matokeo ya uzembe wako tu!‼ sipendagi ujinga mm
 
sipendi ujinga
 
Back
Top Bottom