Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Tena we unapenda kufungua simu Yangu hahasipendi ujinga
Tena we unapenda kufungua simu Yangu hahasipendi ujinga
sipendag kabisa ujinga mmnataka ujinga kwani![]()
igowole ujinga ni ujinga kusema hupendi ujinga ujinga sipendi na ujinga hasa ujinga mdogomdogo wa ujinga nashukuru hupendi ujinga ujinga sawa?sipendag kabisa ujinga mm
*```Usiku nimeota ndoto nimekamatwa na polisi na kupakiwa kwenye difenda kuelekea kituoni.```*
*```Sa wakati tunakaribia kufika kituo cha polisi,nikaamua zangu kushtuka.```*
*```Sipendagi Ujinga Mimi```*



jamani




halafu we kila siku anakutumia 










jua kuna mwanaume mmoja ambae hapendagi ujinga.Mi pia siutaki huo ujinga!Siutaki !!!
HahahhhNi msemo wa kijinga na wajinga ndo wanaoutumia
Ni msemo wa kijinga unaoshadadiwa na watanzania tena kizazi cha mitandao....afu eti tuje tutengeze basic material a.k.a made in Tanzania ahaa ahaaa bongoland lala mindhuu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani![]()
Hata Mimi siutakiSiutaki !!!
mume wenu nipo hapaMUME WETU HATAKI UJINGA!
Ukichukua simu ya demu wako halafu pale kwenye most used emoji unakuta zimejaahalafu we kila siku anakutumia
jua kuna mwanaume mmoja ambae hapendagi ujinga.



uwiijamani*```Usiku nimeota ndoto nimekamatwa na polisi na kupakiwa kwenye difenda kuelekea kituoni.```*
*```Sa wakati tunakaribia kufika kituo cha polisi,nikaamua zangu kushtuka.```*
*```Sipendagi Ujinga Mimi```*

Si wenyewe wageni labda ulizia mtaa wa piliJamani kwani hili kiumbe kinachoitwa sipendagi ujinga kinaishi wapi!!