Nataka udi nisaidie kulipata

Nataka udi nisaidie kulipata

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari zenu , ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.

Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
 
Nipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo

Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie

Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo
 
Jamani niko sirias mbona mnaguna tuu na kuuliza kama humu kuna wachungaji? Na hiyo taarab. Jamani ndo umeniimbia kabisa NN, mie nimeiweka kama heading ila nataka UDI wapi ntaupata? Tafadhali.
 
Yaani dem ukijifukizia udi nakushusha hadhi kabisa cjui kwann? Si pendi kabisa
 
Jamani niko sirias mbona mnaguna tuu na kuuliza kama humu kuna wachungaji? Na hiyo taarab. Jamani ndo umeniimbia kabisa NN, mie nimeiweka kama heading ila nataka UDI wapi ntaupata? Tafadhali.

kariakoo maduka ya pemba street dada angu
 
Uko wapi?
Hivi maduka yote ya kariakoo ukose UDI?
Au ndio tukujue mama la kujirusha na kujikwatua?
 
Jamani niko sirias mbona mnaguna tuu na kuuliza kama humu kuna wachungaji? Na hiyo taarab. Jamani ndo umeniimbia kabisa NN, mie nimeiweka kama heading ila nataka UDI wapi ntaupata? Tafadhali.
 
Nipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo

Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie

Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo
Goddamnit, Are you high or something? I hope so for your sake, give yourself a round of applause
 
Umesema shoo itafanyika kichochoro gani? i will be there for chabo tu
 
Kumbe tuna wanabendi sijui wanakwaya wa taarab humu wana mauno kata...!!!

Mambo ya show za 6 kwa 6 hakuna refa wala faulo wala watazamaji hehehe
 
Habari zenu MMU wik end ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.
Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
Week end njema wote.
Kasinde ni-pm namba yako ileee.. nikupe mautundu ya kujifukiza huku ukiwa na mziki laiiini wa anantara spa!!

sheria za udi shurti uwe gubi gubi..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom