Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Hii kitu mkuu nyani ngabu imekuharibia sana fame yako hapa jamvini!
 
Kwa sababu una mawazo ya kishetani(mapepo) hawezi kushindwa kamwe.
 
Utapata taabu saana jamaa ndo kwanza anachanja mbuga
 
Kama wewe ni zwazwa huwezi kujua athari za mitandao, unaona raha tu kuchat kama hivi. Ila mtandao ni jinamizi baya sana
 
Mmh,kaka
 
Ngabu futa hili dua lako baya
 
Laana za Nyani Ngabu zinamuelemea Raisi wetu Mpendwa
 
Hahaaa umefukua kaburi eeh..
Nadhani Tatizo lake Yupo Nusu nusu... Kwa Wazuri yupo Nusu na kwa Wabaya yupo pia Nusu... si anashindwa Kumatch... Its time kwa Raisi awe anaomba maoni kabla hajaamua kitu maana kila analofanya linakuwa Worse ... Na sio kwa sasa hivi tu bali hata akijaondoka Madarakani lawama na zinamfuata tu kwa makosa afanyayo... Angekuwa ni Mcha Mungu angewezeshwa kuona yajayo... ila nadhani kapofushwa... Atubu tu... Viongozi wa Dini na baadhi ya watu wanaomuambia ukweli huku yeye akikasirika ajue hao watu hawajisemei tu wenyewe kuna sauti ya future ya nguvu ya Nuru inawaongoza ila yeye hataki anaweka kichwa Ngumu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…