Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu Nyani, wamekukwaza kwa kweli unastahili kughadhibika. Pole sana. Binafsi mie nakukubali na kupitia michango yako nilikwisha gundua kuwa wewe ni mchangiaji huru. Huna upande. Wanakuongopea. Akutukanaye. Hata hivyo, kama tunataka kuiimarisha Forum yetu tujitahidi kujenga hoja zenye mashiko, hoja zenye nguvu (Isaya 41:21).Hatujielewi tu kwani kupitia JF tunaisaidia sana Serikali na watawala wetu kutawala Nchi. Tunawasilisha mawazo ya waTz wengi kwa kuipongeza, kuikosoa, kuishauri, kuitahadharisha Serikali nk. Nitashangaa sana mtu atakayejitokeza ati kuipiga marufuku JF. Tunaoandika humu ni watu wa kawaida sana ungetuona lakini tunatoka kwenye 80% ya watawaliwa ambao ukitaka ustawi wa Nchi ni kujua ni nini msimamo na matakwa ya kundi hili kubwa. Bwana Yesu kristo ibariki JF pamoja na nchi yetu nzuri.
 
Amina
 
Pole yako. Nyani aliyeandika mada hii amebadilika
Kwa sasa ni tumbili labda sawa au ndiye yule tumbili aliyeunga mkono juhudi
 
Pole yako. Nyani aliyeandika mada hii amebadilika
Kwa sasa ni tumbili labda sawa au ndiye yule tumbili aliyeunga mkono juhudi
Huyo ndiye nyani halisi, sema saivi hapandi miti...anatambaa tu..
 
Lakini sioni kosa lake. Mpaka Wabunge na Madiwani wanabadili misimamo na itikadi zao za awali kumuunga mkono Mtukufu...naye followed the same path....
 
Lakini sioni kosa lake. Mpaka Wabunge na Madiwani wanabadili misimamo na itikadi zao za awali kumuunga mkono Mtukufu...naye followed the same path....
Hata mimi sioni kosa lake. Kumuunga mkono au kutomuunga si kosa
 
Hata mimi sioni kosa lake. Kumuunga mkono au kutomuunga si kosa
Kwa wiki hakosa thread angalau mbili kuwakandia Makamanda....He is smart enough that he doesn't openly give credit to Mtukufu. But in disguise through undermining some of the opposition Parties...
 
Oohooo...
 
Wewe na UKUTA wako ndio mmeshindwa!
 
Kwa wiki hakosa thread angalau mbili kuwakandia Makamanda....He is smart enough that he doesn't openly give credit to Mtukufu. But in disguise through undermining some of the opposition Parties...
Duh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…