Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Leo Ngabu kangabuka
Kapanda juu kaanguka
Kichupi chake kinanuka
Kinanukia mafuta
Mafuta yenyewe ya Ky
Nmekakumbuka kanyimbo ketu wakati tupo darasa la pili B
Hahahaaa,,,,mkuu umempaka KY???
 
..wakati huyu nyani wa kike anaandika haya alikuwa anajitambua....lakini sivyo alivyo leo....JPM ni kosa kubwa lilifanywa kumweka madarakani.... Hili halipingiki kwa kuangalia tu anayofanya tangu aingie madarakani...

 
Hili ndilo bandiko la mwisho huyu jamaa kumkosoa Rais, mengineyo tunayashuhudia wote humu mtandaoni, ni sifa kwa kwenda mbele. Sasa yeye na wanaonunuliwa sijui kuna tofauti gani. Kumbe alikuwa na price tag?!!!
Njaaaa
 

Kwa hiyo unaunga mkono maandamano ? Au ndio ulibadili gea angani?
 
Mna imaginations za ajabu sana nyie watu!
Imaginations za ajabu ni kutaka Magufuli ashindwe kama ulivyoandika humu kwenye uzi wako.

Vipi, bado una imagine kuwa atashindwa au Imaginations zako zimebadilishia gia Angani?
 
Imaginations za ajabu ni kutaka Magufuli ashindwe kama ulivyoandika humu kwenye uzi wako.

Vipi, bado una imagine kuwa atashindwa au Imaginations zako zimebadilishia gia Angani?

Unaona sasa!

Kumbe hata hujaelewa ulichokisoma!

Pitiful!!!!
 
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
cc mng'oa kucha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…