Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Hakuna kilichogeuka katika msimamo wangu!

Tatizo ni akili yako. Una akili ndogo sana.
Hahahahaha....

Wewe mwenye akili yako kubwa hebu tueleze sasa. Ulikuwa unamaanisha nini kwenye uzi wako huu?

Tupo tunakusikiliza
 
Hahahahaha....

Wewe mwenye akili yako kubwa hebu tueleze sasa. Ulikuwa unamaanisha nini kwenye uzi wako huu?

Tupo tunakusikiliza

Nilikuwa namaanisha hapendwi mtu.

Yeyote yule anakosolewa.

Siyo kama nyie manyumbu ambao hamuwezi kumkosoa mfalme wenu.
 
Nilikuwa namaanisha hapendwi mtu.

Yeyote yule anakosolewa.

Siyo kama nyie manyumbu ambao hamuwezi kumkosoa mfalme wenu.
Sasa hivi wewe unaweza kumkosoa?

Nikikupa nafasi ya kumkosoa kwenye jambo lolote lile SASA HIVI unaweza?
 
Eti alikuwa anabana pua "nataka raisi Magufuli ashindwe" kwenda huko! Leo ndio anasema hakuna kama yeye katika nchi hii na misifa chungu nzima. Sijui kalipiwa bili ya nini huyu! Kuna wakati nilisema au Nyani Ngabu ka rest in peace na mrithi wake kachukua nywila yake anaendelea kuandika JF?
 
Labda kapata uteuzi mkuu maana sio kwa sifa anazompa
 
Au tumpime kwa kiingereza tujue kama Ngabu wa sasa huyu fake au OG..[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mbana pua. Keishapewa kitu si bure.
 

Tundu Lissu mbona alikuwa anatoa ushahidi wa anachokisema lakini kila kukicha anakamatwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…