Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Mim kwa kweli naungana na mkuu mtooa madaa,,maana huyu rais anataka kwanz kujimilikisha na kujipa pawa ya kufanya kila analotaka wakt wananchi nao wanamaoni yao,,kwahilo ashindwe tuunganishe nguv zetu kumpinga mshenzi huyu hana akuli

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
That was then.

Sasa upepo umebadilika. Unataka washindwe wanaomkosoa Magufuli.

Muda husema ukweli!
 
Alipelekewa pesa na Makonda ameufyata wazazi wa mleta mada wana hasara kuzaa toto la hivi, kigeugeu.
 
Kashabadili msimamo kama madiwani wa cdm waliojiuzulu, ni balaa. Mimi na moyo wangu wote naichukia ccm, na siji badili msimamo kama mtoa mada.
 
Nakuunga mkoa Dsm mpaka Tunduma,kajamaa kana roho mbaya kama kipara chake anakataa mikutano ya hadhara ili iwe kama chama kimoja no way hatukubali,tena usijiumize kichwa anashindwa hata kuongeza mshahara kwa wafanyakazi wa umma,Mashirika yako hoi anabana pesa za quarter hadi mashirika yanashindwa kuendeshwa wakurugenzi wake wa mwendo kasi wameanza kushindwa toa majibu,pesa anapeleka wapi,kwahiyo cnn wakimuuliza na wewe tatizo ni nini atakimbia,eti serikali ya viwanda wapi,ameshindwa,huwezi kuwa msukuma wa mipasho no way.
 
Tuendelee kujulishana jinsi hali inavyoendelea huko nyumbani mimi niko safarini naelekea Cambodia.
Mimi niko hapa Toronto na Montreal,fry over kila kona ya gari,yeye anashangaa hata kamoja ka Tazara kanamtoa jasho,ngoja nile zango Donair za mamtoni,siku ikifika napita zangu
 
Anajiona ana akili sana, anajiona malaika asiyejaribiwa, anajiona ana nguvu sana, ukimuangalia vizuri usoni wakati anaongea utagundua kuna kitu hakipo sawa
Kwa wataalamu wa lie control,body language inaonyesha kashakoswakoswa na Majanga mengi so,anafikiri watu millioni 55 ni njiti za kiberiti cha kunyenyua na kushusha,Huyu na Trump hapo Marekani hakuna Tofauti.
 
Hivi hii thread aliandika Nyani au kuna watu walimwandikia? Maana kwa kweli akili ya mtoa mada na Magu zinashabihiana mno!
 
Kashabadili msimamo kama madiwani wa cdm waliojiuzulu, ni balaa. Mimi na moyo wangu wote naichukia ccm, na siji badili msimamo kama mtoa mada.

Mbona hakuna msimamo nilioubadili..

Unaweza kunionyesha labda hapo nilipobadili msimamo?
 
That was then.

Sasa upepo umebadilika. Unataka washindwe wanaomkosoa Magufuli.

Muda husema ukweli!

Nope.

Msimamo bado uko palepale.

Ikija kwenye demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa watu kujieleza, bado nataka Magufuli ashindwe kama nia na malengo yake ni kuviminya.

Lakini sitegemei uelewe nilichokiandika hapo....
 
Hii ni ya NN??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…