Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.

huko kungine sikujibu nakujibu Hapa...

huyo mama wala hakuleta jf sio kweli aliandik instagram kuna mtu alileta huku tena kwa kuuliza mbona yule Dada anashutuma sana vtu asivyo na uhakika Nazo

hapo unamsingizia max

Mimi imani yangu inanituma kuna maisha baada ya kufa na kuna hukumu pia kwa kila utakalolitenda hapa duniani linaandikwa

Kila mtu aamini kwa imani yake....!!
 
Ashindwe vipi tena?
Watu huku mtaani wanafurahia maisha ya kutumbuliwa na "maisha ya kimalaika".
Huyu ndie kiongozi "aliyesubiriwa kwa miaka mingi" na wadanganyika, "ni zawadi kutoka kwa Mungu" ili kuwafanya wadanganyika waamke kutoka usingizini.

Ametuletea "mabadiliko tuyatakayo" kama nitaazima msemo wa wapambiaji.

Link Serikali ya Tanzania yathibitisha ununuzi wa Ndege aina ya boeing 787

Huyu ni kiongozi anayemtanguliza "Mungu" mbele kwa yale ayatendayo, ni mpole na mwenye huruma kwa walio chini yake.

Ni kiongozi mpenda DOMO-krasia na mapangaboi. Ni mpenzi wa ndege kiasi ambacho ujengaji wa viwanja vya ndege unachapiwa kazi ya mwendokasi.

Anawapenda wapinzani na amejenga jeshi la polisi imara na wanajeshi kwa ukakamavu wao na utendaji kazi wao wa utii bila kuuliza maswali wanaingizwa kwenye utumishi wa umma (kazi za kiraia, sio kijeshi) badala ya kubakizwa makambini na maporini.

Sasa tuangalie "movie" tu itakavyoishia. Huyu Kiongozi alituomba tumwombee kwa Mungu awe na angalau robo au nusu ya uvumilivu wa walalahoi anaowaongoza sijui kama tumefanya hivyo. Kama hatukufanya ni vyema tuanze sasa kwa sababu inawezekana ametishwa kwa maono ya baadhi ya wabunge.

Lakini nini kinachokushangaza juu ya utendaji kazi au (hapana kazi tu) ya mtukufu? Mwenyewe amekiri tena kadamnasi kwamba "yeye ali-beep tu urais" na Kivuitu akapokea simu.

Sasa badala ya kuiombea amani ya nchi, inapasa tuelekeze nguvu na maombi yetu kwenye kujiombea nafsi zetu kwa sababu polisi inaomba ushirikiano kutoka kwa wamiliki wa mitandao, watu wanapotea na maiti zinaokotwa huku maisha ya kitaa yakiwa ni ya ku-enjoy wote.

Je inawezekana kwamba wanaopotea na kuonekana kwenye visandarusi ni kwa sababu ni wahamiaji haramu au ni wale walioshindwa kupiga dili? Au ni watu walioshindwa kuimba mapambio?
Haya tumsifu Mungu.
Kila nafsi itaoja mauti na ipo siku ya hukumu. Tusijisahau.

 
mkuu, yote hayo yanakutoka kwa kuwa mkuu wa Jf amekamatawa na polisi au yanakutoka kwa kuwa unaagenda yako binafsi,binafsi nafurahi kwa kuwa unatumia uhuru wa kutoa yako ya moyoni hapa tena bila kusumbuliwa lakini bahati mbaya unautumia vibaya kwa kujaribu kuchanganya na mihemko ,yu mkini wewe ni shabiki wa upinzani umechukia magufuli kushinda ,lakini braza maneno au kauli uliyotumia kuonyesha hisia zako ni makali sana,kumbuka unayemshukia ni Rais wa nchi na hata kama wew hupendezwi naye sio kwamba unazuia kuonyesha hisia zako,lakini jaribu kuwa na staha ,jua kuna wenye mioyo kama wewe walimpenda na kumchagua na hata kama huyo lubuva alimpitisha jua na nyeye pia alimpenda ndio maana kampitisha ,

Braza uhuru huu tulionao wa walau kuandika hisia zetu tusiutumie vibaya kiasi hiki,kiasi cha kukosea heshima nafasi ya Urais kiasi hiki,Uungwana ni dawa kuliko mihemko
 
Atokeee, tumemchoka jamani, kama vipi nipeni bomu nikajitoe mhanga, nipo tayari kwa sababu sina furaha yoyote duniani hapa,, nipeni bomu
 
Dah...mambo yapo simpo tu...sheria iliishapitishwa na bunge....kazi ya polisi ni kuhakikisha sheria zinafuatwa ...Tatizo lipo wapi??..Hii sharia haiilindi serikali tu...pia mtu binafsi au Taasisi...sasa kama umevunja sheria halali unashitakiwa....unajitetea....mahakama inaamua....sasa hii fichaficha sijui hata ni ya nini.... 😡😡😡
 
U.S.A Baby [emoji111]
 
Kushindwa kwa Magufuli ni kushindwa kwa watanzania wote, kufanikiwa kwa Magufuli ni mafanikio kwa watanzania wote. Nawaomba ndugu zangu tuweke utaifa mbele. Ni mawazo yangu lakini nisiwakwaze
 
Inasikitisha kuona unanukuu halafu unatua maneno yako binafsi nakudhani kuwa hiyo ndiyo maana na kusudio la Mwl. Nyerere, hambo ambalo siyo kweli, mwalimu Nyerere hawezi kuwa na maana ya kijinga kama hiyo unayojaribu kuileta, eti TANU imaanishe Jamii, n.k, kaa nakutokuelewa kwako . Sisi Wtz tunasonga mbele, hatuhangaiki na makaburi.
 
Kwa kwel mambo mengne yanayofanywa na huu uongoz unauzi sana mtu anakamatwa kwa kosa la kuikosoa serikal hiv serikal n nin jamani mbona hata sie ni serikal tunakushaul mweshimiwa legeza kamba wtu tutoe maoni yetu na tunahaki ya kuikosoa serikal kikatiba.
 
Nipo tayar kuingia barabarani muda wowowte
Yaaa ingia tu barabara ukafagie na kufyeka nyasi hakuna wa kumwingiza chaka humu hata kwenye vitabu vitakatifu Biblia imeandikwa asiyefanya kazi na asile na mikono milegevu hujenga paa bovu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…