vijujako
Member
- Apr 11, 2015
- 38
- 16
Hodi!
Nataka kupata rafiki moja ambaye angependa kuzungumza nami kwenye facebook katika kiswahili. Ningependa kujua zaidi kuhusu tofauti yetu ya jamii na siasa nk., na pia kufanya mazoezi kujifunza kiswahili zaidi. Nitumie PM!
Labda unataka kufanya mazoezi kujifunza kiingereza ama hata kujifunza kinorway/kifinland?!