Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
Ntalea Mtoto nampenda aiaee
sasa si umuoe........
Ntalea Mtoto nampenda aiaee
Sawa we Zaaa nae tuuu....ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
naona unataka kujitwika ndoo ya "MAVI".ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
😁😁😁😁😁😁Baadaye ukishindwa kumlea huyo mtoto nakuhakikishia nitakucharaza bakora tu
"""Alikupiga kibuti, Moyo ukakuuma, Amekurudia tena"""ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
alafu ukiza naye unajua kitakachotokea?utapata mtoto ambaye atakua apati malezi ya baba kwa usahihi sababu wew utamzalisha ukimaliza mwingine atamzalisha tyr unamuweka ktk wkt mgumu mwanao, ya nini yote haya km yalishapita na ukasahau unaludi kufata nini jifunze kusonga mbele maana uyo apiti ktk njia upitazo wewe xx basi angalizo uchague kupitanjia apitayo yeye au muachane kila mtu apite njia yake maana uko mbele ukimzalisha atakuvuta shati wkt wa wewe kukimbiandugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Hivi single mother kwa kiswahili ni nini.Acha kuongeza idadi ya Single Mother kama unampenda sana muoe.