Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
- Thread starter
- #61
GPA 1.2Brother, form four ulipate?!
GPA 1.2Brother, form four ulipate?!
SitakiUnataka kuzaa nae au hutaki kuzaa nae? Unataka nini dogo?
Ali-arrive form foo una hakika mkuu?Brother, form four ulipate?!
Sasa si uache? Kakuomba?Sitaki
Haha kwa kayumba yote yanawezekana.Ali-arrive form foo una hakika mkuu?
usifanye hio ujinga kama huna mpango nae mwambie tundugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Ukizaa na mtu ambaye hujamuoa jua kuwa huo msala utakaa nae na utakutesa mpk unaingia kaburini uliza wahenga watakuambiaSio tamaa elewa nampenda nizae nae na yeye anapenda tuzae
Unadhani kwa kufanya hivo unamkomoa?
Mngh!Duuh
[emoji3] [emoji3]Mngh!