Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hongera kwa kuwapenda wote waweza kuwaoa piaAcha izo kwa umesikia simpendi
Hongera kwa kuwapenda wote waweza kuwaoa piaAcha izo kwa umesikia simpendi
Ata we nakupendaHongera kwa kuwapenda wote waweza kuwaoa pia
Jitengenezee single mother wakoNo nampenda nizae nae tu
Unataka kuongeza idadi ya single mother eeeh......halafu mje muwanange humu ....jitathimini mkuu you're wrongndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Yah am wrong nimeghairi mkuuUnataka kuongeza idadi ya single mother eeeh......halafu mje muwanange humu ....jitathimini mkuu you're wrong
[emoji8]Nonsense.
UmekatikaNiunganishie mkuu
Soma vizuri uelewe soja acha uogaUmekatika