Nataka nizae nae tu

Nataka nizae nae tu

Sio tamaa elewa nampenda nizae nae na yeye anapenda tuzae
Oaneni tu since mnapendana sana. Muache huyo mchumba wako, Mungu atampa mtu atakayempenda kwa dhati na atakayeheshimu kiapo cha ndoa na yeye. Huyo mchumba wako ukimuoa utamuharibia tu maisha yake, bora umuache sasa hivi kabla hajaingia kwenye kifungo cha milele. Above all fikiria sana future ya huyo mtoto unayetaka kuzaa na ex wako, fikiria sana. ........
 
Achana nae tu mbaba.Mwanaume aliyepuvuka siku zote anapenda mtoto akue akimwona baba na mama pamoja forever.
 
wakwetu zaaga naye tu

dyudyu first..
isitoshe wewe siyo wa mwisho

Jipange kwenye malezi yake na elimu...
(halafu si muoane tu.!?)
 
Oaneni tu since mnapendana sana. Muache huyo mchumba wako, Mungu atampa mtu atakayempenda kwa dhati na atakayeheshimu kiapo cha ndoa na yeye. Huyo mchumba wako ukimuoa utamuharibia tu maisha yake, bora umuache sasa hivi kabla hajaingia kwenye kifungo cha milele. Above all fikiria sana future ya huyo mtoto unayetaka kuzaa na ex wako, fikiria sana. ........
[emoji15] siwezi acha sizai nae basi
 
ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Nashukuru kwa ushauri sitozaa nae pia na washauri tusiwaachie wanawake kulea peke yao watoto
 
Sasa km alikupiga kibuti umejiuliza kwa nn amerudi inaonyesha ww kwake Ni option na sio priority
 
ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Haina shida wee zaa nae tuu ila usisahau kupima kabla hujala kipapune chake isije kuwa kashaupata anataka kukumaliza
 
ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau
Asanteni kwa ushauri nimeghairi kuzae nae sababu
1:nta muharibia future
2:Mtoto ata kosa malezi yangu
3:ntaleta ugomvi na mchumba wangu
 
Back
Top Bottom