Nataka niwe naangalia movies Netflix nimeshindwa kujiunga nifanyaje

Nataka maelekezo jinsi ya kujiunga

Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app
kwanza tengeneza Mastercard kwa Mpesa au Tigopesa, kisha fungua netflix.com/signup chagua namna ya kulipa, ingiza namba yako ya Mastercard na CVV, jaribu netflix kwa mwezi, baada ya mwezi ukitaka kulipia unaweka kiasi cha pesa kwenye account yako ya Mpesa au Tigopesa Mastercard kiendanacho na gharama ya huduma. Easy like 123.
 
Kuna bingwa mmoja wa IT kafanya mambo yake nacheck Netflix bure kabisa. Nimempa kazi yakuifanyia mautundu hi site ya Grab the beast, ili niweze kupakua movies bila kulipia.
wacha wee, nyinyi ndo mnaozalilisha taaluma ya IT. Yani kufanya uharamia wa kupakua filamu ni ubingwa wa IT? 123shows.movie namimi utaanitaje?
 
Kuna bingwa mmoja wa IT kafanya mambo yake nacheck Netflix bure kabisa. Nimempa kazi yakuifanyia mautundu hi site ya Grab the beast, ili niweze kupakua movies bila kulipia.
Nipe tips nishachoka kukatwa elf 23 zao
 
mbali na hyo nyie ndo mnalala njaa kwa kukumbatia taaluma zenu
mimi sio "bingwa wa IT" . Online Fil
Piracy ni kosa, pia unaumiza vipaji vya watu. Umepanda mparachichi kwako baada ya kutafuta mbegu kwa shida, maparachichi yamekua mtu anakuja kuyachukua bila idhini yako na kwenda kuyauza.
 
mkuu kwa hali ilivyo saiv n kufanya kile unachoona kinakupa maslah bas
 
kwanza tengeneza Mastercard kwa Mpesa au Tigopesa, kisha fungua netflix.com/signup chagua namna ya kulipa, ingiza namba yako ya Mastercard na CVV, jaribu netflix kwa mwezi, baada ya mwezi ukitaka kulipia unaweka kiasi cha pesa kwenye account yako ya Mpesa au Tigopesa Mastercard kiendanacho na gharama ya huduma. Easy like 123.

Mkuu kwa line ya voda unaweza kunielekeza namna ya kufungua hiyo master card na requirements zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom