Nataka nitoke nifute uwanachama wangu facebook, nisaidie

Duuh hao fb ni kama freemason, ukiingia umeingia hutoki, ukitoka tu basi kifo. We hiyo akaunti achana nayo tu watai deactivate wenyewe.
 
Duuh hao fb ni kama freemason, ukiingia umeingia hutoki, ukitoka tu basi kifo. We hiyo akaunti achana nayo tu watai deactivate wenyewe.

Fikra Potofu Hizi.. Mbna JF hamuongei? Unaweza ukatoka na wala wasikukumbuke tena. We nenda SETTING=GENERAL=Mwisho kabisa utaona DEACTIVATE. Wanakupa Wiki Moja tu then wanakufuta kabisa.
 
kama unataka kudeactivate kweny computer,nenda Account settngs - security-chin kabisa utaona wameandik deactivate,fanya hivyo.
 
ni kweli ao jamaa huwezi kujitoa fasta kama unavyo un install program kama vipi we jiblock 2 mwenyewe kaka
 
Freemason book hakuna kujitoa ukiingia freemason ukijitoa wana kuua kama kanumba.
 
Back
Top Bottom