Nataka nirudi chuoni!

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
211
25
Jamani bumu, jamani bumu hvi kwanini nilikujua?cheki sasa umenikimbia nimebaki mpweke.tangu tuachane kitu pesa imekua msamiati kwangu.nimekuwa mwenye huzuni siku zote na wala nyumbani sitoki.jamani bumu natamani nikufuate kwa mara ya pili tena huko chuoni kwani nimeskia sahvi umetajirika.jamani wadau nimepigika natamani nirudi chuoni nikaendelee kula bum hata kama ni ndogo kuliko haya maisha ninayoishi.
 
Ndo maana unazunguka zunguka maeneo ya posta na bahasha ya kaki mkononi? Nahisi ungerudi tena chuoni husingegoma bumu halitoshi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom