Nataka niondoe baadhi ya vipengele kwenye website yangu

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,130
4,469
Na site yangu ya kuuza na kununua inamuonekano huu kwa mbele
Screenshot_2019-01-07-21-09-23-1.png

sasa nataka niziondoehizi categories zinazoonekana hapa mbele sababu tayari zipo zinaonekana hata kwenye menu icon mtu akiclick
Screenshot_2019-01-09-08-17-02-1.png

pia watumiaji wameniambia wanataka kuona picha tu za bidhaa wakiingia
naomba msaada nifanyie kazi hapo
 
Mkuu, kwanza hongera kwa uthubutu.
Pili, ungeweka jina la website ingekuwa vizuri zaidi kwani washauri wangeenda kutazama hiyo web na kisha wangekuja na ushauri mzuri zaidi tofauti na hizo screenshot.
 
naogopa kuweka link humu site ina matangazo ya adsense kuna watu wataharibu account ifungwe nilishawahi kuona watu wanaongelea hilo hapa
ila theme yangu nimetumia kama hii isipokuwa yeye ameshatoa categories listing hapo zinazoonekana chini ya PUBLISH YOUR ADS FOR FREE
Free classified sites in India, free classified sites, post online ads, advertising websites free, free classifieds ads in kolkata, post ads in usa, free advertising online,
Fear of influence
 
Nadhani una access na html codes za template unayotumia.

Kwenye template codes tafuta sehemu iliyoandikwa "publish your ad free" halafu angalia kwa chini kuona hizo categories kama zimewekwa kwa mtindo wa list angalia kama kuna hizi <ul><li> tags au kama imetumika php functions kufetch hizo categories.?
 
Hapo mpaka uwe na admin acess,ingia kwenye dashboard unaziondoa ila kama haujatumia cms tafuta mtu akutolee tu
 
Asanteni nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom