Hapana nimeshapambanua akili yangu siwezi muhusisha kwasababu ni mtu ambaye naona anapenda sana pesa na luxury life alaf ni mtu ambaye anapenda kusolviwa vitu vyake tu peke yakeKwa nini usimhusishe kwenye hayo mambo? Unajuaje labda anaweza kukusupport vizuri.
Au ndio kutompenda tu.
Miaka mitano unachimba tu shimo afu sahivi unamwaga hivo khaaa mi ndo maana huwa nananii yaniMkuu mwanzo huwa mtamu na kunatofauti ndani ya miaka mitano iliyopita na sasa
Sawa MkuuAisee inabidi nifanye tu ivo maana hakuna namna
Unafanyeje eti?Miaka mitano unachimba tu shimo afu sahivi unamwaga hivo khaaa mi ndo maana huwa nananii yani
Nitumie namba na picha yake then relaxEt niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
Akuchane nini mkuu?Nipasie namba yake PM mkuu ikifika mpaka kesho kutwa hajakuacha njoo hapa nichane