Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,898
- 172,721
Bring back our girls and take Evz
Ha ha ha mbavu zangu mie....
Bring back our girls and take Evz
Bora hata nawe umeona....Unaandika kipuuzi sana..
Bring back our girls and take Evz
uctizame tu mwenzio alipoangukia ukilipiza waweza angukia pabaya zaidi ni majuto makubwa sana ndugu sikushauri kulipa kisasi
shkamooni wakubwa wadogo marahabaaa.. Leo nimepata wazo la kuuburudisha moyo wangu japo nawaza sana ila moyo wangu unaniambia nicogope ingawa mwili una6. Mwenzangu naeishi nae ananizd ujanja kwa usaliti. Ila nataka nilipize kisasi japo mara moja ili moyo wangu u2lie. Nipo hapa mnambie je? Nijipe moyo au!?.
Mkuu hivi vitoto vya fesibuku ambavyo havijui hata ndoa ni kitu gani ni shida sana. We burudika halafu potezea tu.Unaandika kipuuzi sana..
njoo tukugegede tuu...michepuko lazima
Kuna post imetoka kua kafariki huyu mtoa mada
loooh wapi nipe location niende msibani
Kuna mtu anajiita sengerema katoa post iyo kua huyu evz kafariki sasijui ni propaganda au vp siwajua JF NI KICHAKA
shkamooni wakubwa wadogo marahabaaa.. Leo nimepata wazo la kuuburudisha moyo wangu japo nawaza sana ila moyo wangu unaniambia nicogope ingawa mwili una6. Mwenzangu naeishi nae ananizd ujanja kwa usaliti. Ila nataka nilipize kisasi japo mara moja ili moyo wangu u2lie. Nipo hapa mnambie je? Nijipe moyo au!?.
Upuuzi mtupu. Kama huna mada ya maana, tulia kimya. Nyamaza kabisa. Soma michango ya wenzako. Tumechoka kusoma mada za kipumbavu kama hii.