Nataka nimfungulie Mpesa

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Wakuu hope mnaendelea vizuri

Kuna mdogo wangu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kazi, mwaka huu alitamani aende ila mambo yamebuma

Nina kiasi cha laki 8 nataka nimfungulie mpesa (nimuwezeshe mtaji)hiyo laki 8 n kwa ajili ya kuendesha tu mpesa, fremu nimelipia miez 8, nmemtafutia till yeye kazi yake n kuingia tuu na kuanza Kazi.

Je, hiko kiasi ni kidogo au niendelee kundunduliza ili mwisho wa siku nimpe million 1.7 kamili.

LOCATION: KAHAMA
Nimemuuliza Kama ana uzoefu wa hiyo biashara amekubali kwa kigezo Cha kusema alishawahi kufanya Kazi kwa mtu.

JE, KWA HUO MTAJI UTAMTOSHA??,maana nataka aanze kujitegemea coz kila siku wazaz wanamgombeza anakaa kaa tu kusubilia ugal wa bure wakat wamemsomesha kwa kuuza mashamba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Daah aseh umejitahidi
Ila kuhusu kibanda ungechonga kwa mafundi cha chuma kabisa akatarget maeneo ya stendi sana sana.

Akawa hana tena ya kuwa anasumbuliwa kulipa kulipa kodi Mkuu.
 
wakuu hope mnaendelea vizuri

Kuna mdogo angu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kaz ,mwaka huu alitaman aende jkt ila mambo yamebuma

Nina kias Cha laki 8 nataka nimfungulie mpesa (nimuwezeshe mtaji)hiyo lak 8 n kwa ajir ya kuendesha tu mpesa ,frem nimelipia miez 8,nmemtafutia till ye Kaz yake n kuingia tuu na kuanza Kaz,

Je hiko kias n kidogo au niendelee kundunduliza ili mwisho wa siku nimpe million 1.7 kamili.

LOCATION :KAHAMA
Nmemuuliza Kama anauzoefu wa hiyo biashara amekubali kwa kigezo Cha kusema alishawah kufanya Kaz kwa mtu.

JE KWA HUO MTAJI UTAMTOSHA??,maana nataka aanze kujitegemea coz kila siku wazaz wanamgombeza anakaa kaa tu kusubilia ugal wa bure wakat wamemsomesha kwa kuuza mashamba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kinatosha
 
Hongera kwa kutengeneza ajira
Laki8 sio ndogo ila kama unaweza kuongeza auze na vinywaji baridi, itamsaidia pia kufanya matumizi sahihi ya kodi ya pango
 
Okay add one milioni mtafutie kibanda kwenye jam au sehemu kuna maduka makubwa kama hardware shops na bank.
 
Ila vibanda vingi vya Xpesa vinachosha sana yaani ukitaka kuweka/kutoa zaidi ya laki2 wanakwambia hawana hela yaani wamezoea watu wa kuweka/kutoa elfu mbili mbili tu.
 
Back
Top Bottom