Mtaji wa sh. Laki nane unatosha kwa biashara ya M-Pesa Kahama?

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Wakuu hope mnaendelea vizuri

Kuna mdogo angu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kaz ,mwaka huu alitaman aende jkt ila mambo yamebuma

Nina kias Cha laki 8 nataka nimfungulie mpesa (nimuwezeshe mtaji)hiyo lak 8 n kwa ajir ya kuendesha tu mpesa ,frem nimelipia miez 8,nmemtafutia till ye Kaz yake n kuingia tuu na kuanza Kaz,

Je hiko kias n kidogo au niendelee kundunduliza ili mwisho wa siku nimpe million 1.7 kamili.

LOCATION :KAHAMA
Nimemuuliza Kama anauzoefu wa hiyo biashara amekubali kwa kigezo Cha kusema alishawah kufanya Kaz kwa mtu.

JE KWA HUO MTAJI UTAMTOSHA??,maana nataka aanze kujitegemea coz kila siku wazaz wanamgombeza anakaa kaa tu kusubilia ugal wa bure wakat wamemsomesha kwa kuuza mashamba

MABAHARIA:MSINICHAPIE MDOGOANGU

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umefanya la maana sana , kama anaakili na akitulia anaweza fika mbali... kwa upande wangu ninakupongeza sana
 
Aanze na hiyo 800,000/- huku ukitafuta nyingine ili aongeze line kama Tigopesa na Airtel Money.
Lakini jamaa kanishtua kidogo maana hajui hata some movements za mdogo wake kama vile kuwahi kufanya kazi sehemu
Nimemuuliza Kama anauzoefu wa hiyo biashara amekubali kwa kigezo Cha kusema alishawah kufanya Kaz kwa mtu.
 
Sanaaaa.
Kuna watu wamezaliwa na bahati za familia😅 wengine hata ukitokomea kusikojuliakana hakuna atakae kutafuta
Mimi nakumbuka baada ya matokeo ya form iv nlipangwa shule ambayo kwa kweli sikuiweza. Baada ya muda nkaamua kurudi home kushinikiza nipelekwe private school jambo ambalo mzee aligoma kabisa. Mwezi mzima nimedinda home na mzee katunisha msuli, bi mama full kelele na mzee haelewi. Broo aliingilia kati nikaenda shule ya serikali nliyotaka.

Pia nakumbuka kipindi nasoma chuo nlikosa boom. Nikawa natumia boom la broo ambae alikuwa chuo cha karibu yetu yeye akifanya medicine na mimi nkifanya Business Administration.

Siku ya graduation ya jumuiya yangu nlitoka speech iliyoniliza ikiwa na kichwa cha habari kisemacho

"If I would have no father of mother, my bro would have been my father and mother"
 
Kaka ako anastahili pongezi za dhati kabisa.
Popote alipo Mungu ambariki sana baraka zake ziwe nyingi kama nyota za angani na mchanga wa pwani.
Kaka ako ndo kaka sasa, wengine tumezaliwa tu tumbo moja😂 huyu mkubwa huyu mdogo huyu wa kati
 
For real.

Right now he is going through some social problems and I don't really know how to help. Challenges kwa kweli
 
Wakuu hope mnaendelea vizuri

Kuna mdogo angu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kaz ,mwaka huu alitaman aende jkt ila mambo yamebuma

Nina kias Cha laki 8 nataka nimfungulie mpesa (nimuwezeshe mtaji)hiyo lak 8 n kwa ajir ya kuendesha tu mpesa ,frem nimelipia miez 8,nmemtafutia till ye Kaz yake n kuingia tuu na kuanza Kaz,

Je hiko kias n kidogo au niendelee kundunduliza ili mwisho wa siku nimpe million 1.7 kamili.

LOCATION :KAHAMA
Nimemuuliza Kama anauzoefu wa hiyo biashara amekubali kwa kigezo Cha kusema alishawah kufanya Kaz kwa mtu.

JE KWA HUO MTAJI UTAMTOSHA??,maana nataka aanze kujitegemea coz kila siku wazaz wanamgombeza anakaa kaa tu kusubilia ugal wa bure wakat wamemsomesha kwa kuuza mashamba

MABAHARIA:MSINICHAPIE MDOGOANGU

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Mpesa wenyewe wanakutaka uwe namtaji wa 2M.
watakusajili vipi sasa na huna hiyo amount?
 
Back
Top Bottom