Nataka nikope benki niwekeze UTT

Tumbili in town

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
400
Reaction score
633
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
 
Mkopo wa mil 50 benki wanataka marejesho kiasi Gani Kwa mwezi?
 
Ikiwa anakatwa kwenye mshahara mpaka mkopo wa mshahara unaisha ATAKUA amepata faida. On condition hiyo riba ya mwezi asiichukue awe anaireinvest.

Ikiwa atachukua hiyo laki tano kulipa mkopo wa benki hawezi kupata faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…